Hongera Amos Makala kwa kuwafyeka panya road, sikukuu tulivu kabisa

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
20,029
49,221
Wazazi mliambiwa ukimkosa mwanao kituo cha polisi nenda kamtafute hospitali, mkadhani utani. Wamefyekelewa mbali tunakula sikukuu kwa amani na utulivu.

Vitoto vimezaliwa juzi tu ila vilitaka kutufanya tuishi kwa hofu.

Safi sana Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa.
 
Wazazi mliambiwa ukimkosa mwanao kituo cha polisi nenda kamtafute hospitali,mkadhani utani.

Wamefyekelewa mbali tunakula sikukuu kwa amani na utulivu.

Vitoto vimezaliwa juzi tu ila vilitaka kutufanya tuishi kwa hofu.

Safi sana mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa
Sawa "Amos Sakalla" umesikika. Ila mabilioni ya kuwalipa migambo wanaotukimbiza wamachinga ninyi ndio mnagawana.
 
Dah alafu kunbe kulikua na sakata la panya road. Tulkua tushasshau. Hongera jeshi la polisi maana bila ninyi wahuni wangekua wanatunyanyasa sana.

Nami nasema bado hawajaisha, watafutwe waliobaki na kujificha wamaliziwe.
 
Wazazi mliambiwa ukimkosa mwanao kituo cha polisi nenda kamtafute hospitali,mkadhani utani.

Wamefyekelewa mbali tunakula sikukuu kwa amani na utulivu.

Vitoto vimezaliwa juzi tu ila vilitaka kutufanya tuishi kwa hofu.

Safi sana mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa
Yaani umekuja kujipa promo humu?
Hutumii mbinu za Bashite kuita media/TV/Radios.?
 
Dah alafu kunbe kulikua na sakata la panya road. Tulkua tushasshau. Hongera jeshi la polisi maana bila ninyi wahuni wangekua wanatunyanyasa sana.

Nami nasema bado hawajaisha, watafutwe waliobaki na kujificha wamaliziwe.
Mji umetulia tuliii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom