Honest Advice: Its tough out there bro, dont do it, just dont..!

Fortilo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
5,075
15,830
My Dear Brother,

Dont do it, just dont..

Hawa marafiki na wapambe ulio nao kwa sasa ni watu fake sana, having listened to their speech, rhetorical statements and sentiments.... They cant take you far...
Wanachuki binafsi za kimaslahi na upande unaoupinga..

There are 3 types of Friendships:
1. The Confidant; your true friends, and you know who are they, from when you started, to your dark days to where you are right now... Wamekupa kila kitu ushine, made your sister a Parliamentarian seat,rescued your life, Gave you the position to fight for the higher power, and no hard feelings whatsoever..

2.The Comrades, They are against what you are against, dont confuse them with friends or anything.. they just wants to fight with you against their enemy... You have many of them.

3.The Constituents, they are for what you are for, they are there for the Career development and platforms, when they get what they want they will forsake you.

Brother, you are a blessed man, you have confidant with whom you don't want to 'betray'... Honestly..,
Hakuna binadam mkamilifu, believe it or not, its going to ho down if you escalate this matter...

Hawa Comrades na Constituents hawatakusaidia sana, wakikichangia sana ni Dola Laki 2 au lak 3, wengi ni Diaspora na wachache sana wa hapa Tanzania..
Kampeni za Tanzania ni ghali sana, 1B Shillings wont take you anywhere near your dream.

Unakumbuka uliomba gari ukafanya fund raising? You hardly made it to $80k.

To run one full political rally in one day with min attandance of 1000, will costs you not less than 100M na hili unalijua, from Preparations, planning, organizations etc..
Magari, misafara nk... Sio kazi rahisi.

Wanaokupa raha ya maneno sasaivi wengi ulishiriki kuwatimua... Yule mzee balozi mwenye 77Yo doesn't have much to offer coming 2025..

Jamaako wa Uzalendo ndio kabisa haya unayoyapinga sasa utakutana nayo uso kwa macho.

Vyama vingine vyote nao ni wanufaika wakuu wa mfumo uliopo.. utaenda wapi?

Watanzania by nature wanapenda pesa ndongo ndogo.

Kuanzisha Chama chako? Forget it... It wont make it to the Francis hands... You know this.

Im deeply hurt about your fate, because we trusted and banked on you.

Brother, your options are limited... You have foes everywhere... Dont leave your mothers love for the sake of one day kiss... Im telling you.. be warned.

Diaspora wengi have nothing to loose... Literally, if anything.

Wanakuweka mstari wa mbele kama vile siasa utazifanya ClubHouse.... You know and if there is one thing you know, at least you know this.

Kuna hawa washkaji wa Sauti whatsoever, they will kill your Career, be warned.

Wengi wao mule ni kwamba tu hawampendi Bimkubwa, Siku Bimkubwa akitoka wanachagua upande mwingine... Just like they did to Mwamba, you wil be left alone...
Saut wanamchukia Mwamba kawanyima Platform, then they want to use you indirectly to drive their agenda.

Dont fight your brother, im telling you.. unawasaidia kunguni bila kujua ... If you dont remember anything just look at your picture on Sept 17....

Urais 2025 sio kaz ya kukubalika peke yake, you need lots of money and connections you dont have, and nobody but few will fund you vey little if any.

Mwamba anakubalika sana na Elites na wanamuamini, wakimpa Infos huwa hazivuji... Hili unalijua pia... Best back up to your career ever ..

Usipigane na Mamba kwenye Maji mkuu, subir kidogo.

Unahitaji Hawa jamaa waliokutoa kwenye uvuli wa mauti kuliko hata Siasa zenyewe...

Umewahi sikia issue za Uraia Pacha? ...Yes and Exactly, hawa jamaa wanakupendea hapo wakijua wewe nawe utakuwa mnufaika wa hilo..

Uliwahi sikia popote drama za wanao kuwa na uraia wa Marekani? Yes, you said it yourself, Unadhan zikipigiwa kelele kwenye majukwaa namna unavyowapigia wenzio kelele utatoboa? At least nawajua watanzania wa Nyerere na idea ya Ukoloni... Watakunanga na hilo hadi ujione ulikosea.. and few will vote you.

Radical politics, hiz utaziweza CDM pekee, hakuna popote nchi hii unaweza fanya hizi zaid ya hapo kwa mapoti wako CDM..., Sir, just dont misuse this chance .

Brother, mifano ya Smart Brains kwenye siasa zetu huwa haiishi na wengine unawajua, from Super Lawyers to Geologists to Scientists etc...

Wengi wao, they confused their confidants to their constituents... Yes, and i know Men betray men when it comes to money and power... Check the list..(TANU, CCM and Opposition)

1.Slaa
2.D.Mwakyusa
3.J.Mwakyusa
4.Marando
5.Mwandyosa
6.Kambona
7.Lipumba
8.Mbatia
9.Arfi
10.Safari
11.Mrema
12.Lamwai
13.Tit Mohamed
14.Malima
15.Edo
16.Amani
17.Muhongo

I believe you know better than i do..

Im not trying to portray anything but if my understanding of psychology serves me well, Jamii huwa haijui chochote, inasubiri iambiwe, dont tell them more than they need to know... Dont kill your sweet career at 56, you have at least 15 years more or so to fight....

Just a brotherly advice, end of the day the choice is yours...

Hasta Luego.
 
Muhimu HOJA zake zifanyiwe KAZI ikiwa Zina UKWELI.

Msiposikiza,

Hana budi kuondoka.

Si vyema kumiliki chama ilhali kinatoka kwenye misingi ya HAKI Kweli na uwajibikaji.
 
Lissu Bora aanzishe chama maana mbowe ambavyo kashauza chama 2025 atabadili gia angani
 
Radical politics, hiz utaziweza CDM pekee, hakuna popote nchi hii unaweza fanya hizi zaid ya hapo kwa mapoti wako CDM..., Sir, just dont misuse this chance .
Asante kwa ushauri mzuri.....TL atatuumiza tena kama alivyotuumiza Balozi.
Lakini Mwamba naye anashida gani? Sisi wapenzi wa demokrasia na vita dhidi ya wasiojulikana hatuna shida na Mwamba. Kinachotushangaza amekuwa akipigiwa kelele na maccm tukapuuza lakini kama anapigiwa na Ma comrade hii inatushtua sana.

Mungu atusimamie kwenye hili.

Chadema ni Mpango wa Mungu
 
Thank you very much...your lips send the voices from God for sake of Good Will.

I am sured. He the intended person will.hear and admire your advise, henceforth adhere to the said.
Im not trying to portray anything but if my understanding of psychology serves me well, Jamii huwa haijui chochote, inasubiri iambiwe, dont tell them more than they need to know... Dont kill your sweet career at 56, you have at least 15 years more or so to fight....
 
Muhimu HOJA zake zifanyiwe KAZI ikiwa Zina UKWELI.

Msiposikiza,

Hana budi kuondoka.

Si vyema kumiliki chama ilhali kinatoka kwenye misingi ya HAKI Kweli na uwaj

Asante kwa ushauri mzuri.....TL atatuumiza tena kama alivyotuumiza Balozi.
Lakini Mwamba naye anashida gani? Sisi wapenzi wa demokrasia na vita dhidi ya wasiojulikana hatuna shida na Mwamba. Kinachotushangaza amekuwa akipigiwa kelele na maccm tukapuuza lakini kama anapigiwa na Ma comrade hii inatushtua sana.

Mungu atusimamie kwenye hili.

Chadema ni Mpango wa Mungu
Mkuu Bush Dokta Kwanza Salam,

Rafiki yako akikosea sana, ni busara kukaa kimya au kumtafutia watu wa karibu muyamalize,

My brother ameamua kuyaweka hadharani, mengine hayana faida sana kwao zaid ya kuwamaliza...

Atakaeshinda hii vita anajulikana, Brother has a lot to loose.. niamini, lakini Mwamba ana mengi ya kifanya hata baada ya hili kupita...

TL amejengwa sana na Mwamba, anatumiza anavyotaka kituaminisha kwamba haya mambo ndani ya taasisi yao yameanza juzi au jana, tunawafaham watanzania..

Kuna Siku ndugu Baloz amewahi kuropoka kwamba Mukulo (RIP) amewhi kumpa 200M za kampeni akiwa waziri...

Huu utakatifu wa Brother kwa kipindi hiki ndhid ya rafiki yake utamgharim sana... Just a brotherly advice...

Watanzania tunajuana sana, hizi hela za hapa na pale kwenye siasa za Tanzania si jambo geni hata kidogo...

Shukrani mkuu.
 
Vyovyote inavyokuwa hawa Majamaa tumewaamini sana. Ni kundi pekee la.wanasiasa walioamsha ari, nguvu na mwelekeo.kws vijana wengi.

Lakini sasa Mwamba kama anakula rushwa( japo nakuwa mgumu kuamini) atakuwa anatukosea sana.
 
Wakati wa mabadiliko ukifika hakuna namna.

Kibaki alipata ajali mbaya 2002 na kupelekwa London , waliobaki kumpigia kampeni site ni Raila Odinga na Michael Kijana Wamalwa.

Moi licha ya kumpa endorsement kubwa Uhuru Kenyatta , KANU ya Moi iliyokuwa imeteka vyombo vyote vya habari na vya ulinzi na usalama walitoa tamko la kukubali kushindwa hata kabla tume haijatangaza matokeo jumuishi ya mwisho.

Wakenya walimpigia kura Emilio Mwai Kibaki akiwa kitandani London na alikuja kuapishwa akiwa kwenye wheelchair.

Mabadiliko yanapofika hakuna jeshi , usalama wa taifa wala jenerali yoyote anaweza kuzuia.

Tuliona kwa Hosni Mubarak, Joseph Mobutu, Omar Albashir na wengineo wengi mwisho wa CCM kuwaona watu wajinga utakuja kwa nyakati zile zile kama tawala zingine zilivyoanguka ni nyakati za kiburi na kujiamini kulikopitiliza.
 
My Dear Brother,

Dont do it, just dont..

Hawa marafiki na wapambe ulio nao kwa sasa ni watu fake sana, having listened to their speech, rhetorical statements and sentiments.... They cant take you far...
Wanachuki binafsi za kimaslahi na upande unaoupinga..

There are 3 types of Friendships:
1. The Confidant; your true friends, and you know who are they, from when you started, to your dark days to where you are right now... Wamekupa kila kitu ushine, made your sister a Parliamentarian seat,rescued your life, Gave you the position to fight for the higher power, and no hard feelings whatsoever..

2.The Comrades, They are against what you are against, dont confuse them with friends or anything.. they just wants to fight with you against their enemy... You have many of them.

3.The Constituents, they are for what you are for, they are there for the Career development and platforms, when they get what they want they will forsake you.

Brother, you are a blessed man, you have confidant with whom you don't want to 'betray'... Honestly..,
Hakuna binadam mkamilifu, believe it or not, its going to ho down if you escalate this matter...

Hawa Comrades na Constituents hawatakusaidia sana, wakikichangia sana ni Dola Laki 2 au lak 3, wengi ni Diaspora na wachache sana wa hapa Tanzania..
Kampeni za Tanzania ni ghali sana, 1B Shillings wont take you anywhere near your dream.

Unakumbuka uliomba gari ukafanya fund raising? You hardly made it to $80k.

To run one full political rally in one day with min attandance of 1000, will costs you not less than 100M na hili unalijua, from Preparations, planning, organizations etc..
Magari, misafara nk... Sio kazi rahisi.

Wanaokupa raha ya maneno sasaivi wengi ulishiriki kuwatimua... Yule mzee balozi mwenye 77Yo doesn't have much to offer coming 2025..

Jamaako wa Uzalendo ndio kabisa haya unayoyapinga sasa utakutana nayo uso kwa macho.

Vyama vingine vyote nao ni wanufaika wakuu wa mfumo uliopo.. utaenda wapi?

Watanzania by nature wanapenda pesa ndongo ndogo.

Kuanzisha Chama chako? Forget it... It wont make it to the Francis hands... You know this.

Im deeply hurt about your fate, because we trusted and banked on you.

Brother, your options are limited... You have foes everywhere... Dont leave your mothers love for the sake of one day kiss... Im telling you.. be warned.

Diaspora wengi have nothing to loose... Literally, if anything.

Wanakuweka mstari wa mbele kama vile siasa utazifanya ClubHouse.... You know and if there is one thing you know, at least you know this.

Kuna hawa washkaji wa Sauti whatsoever, they will kill your Career, be warned.

Wengi wao mule ni kwamba tu hawampendi Bimkubwa, Siku Bimkubwa akitoka wanachagua upande mwingine... Just like they did to Mwamba, you wil be left alone...
Saut wanamchukia Mwamba kawanyima Platform, then they want to use you indirectly to drive their agenda.

Dont fight your brother, im telling you.. unawasaidia kunguni bila kujua ... If you dont remember anything just look at your picture on Sept 17....

Urais 2025 sio kaz ya kukubalika peke yake, you need lots of money and connections you dont have, and nobody but few will fund you vey little if any.

Mwamba anakubalika sana na Elites na wanamuamini, wakimpa Infos huwa hazivuji... Hili unalijua pia... Best back up to your career ever ..

Usipigane na Mamba kwenye Maji mkuu, subir kidogo.

Unahitaji Hawa jamaa waliokutoa kwenye uvuli wa mauti kuliko hata Siasa zenyewe...

Umewahi sikia issue za Uraia Pacha? ...Yes and Exactly, hawa jamaa wanakupendea hapo wakijua wewe nawe utakuwa mnufaika wa hilo..

Uliwahi sikia popote drama za wanao kuwa na uraia wa Marekani? Yes, you said it yourself, Unadhan zikipigiwa kelele kwenye majukwaa namna unavyowapigia wenzio kelele utatoboa? At least nawajua watanzania wa Nyerere na idea ya Ukoloni... Watakunanga na hilo hadi ujione ulikosea.. and few will vote you.

Radical politics, hiz utaziweza CDM pekee, hakuna popote nchi hii unaweza fanya hizi zaid ya hapo kwa mapoti wako CDM..., Sir, just dont misuse this chance .

Brother, mifano ya Smart Brains kwenye siasa zetu huwa haiishi na wengine unawajua, from Super Lawyers to Geologists to Scientists etc...

Wengi wao, they confused their confidants to their constituents... Yes, and i know Men betray men when it comes to money and power... Check the list..(TANU, CCM and Opposition)

1.Slaa
2.D.Mwakyusa
3.J.Mwakyusa
4.Marando
5.Mwandyosa
6.Kambona
7.Lipumba
8.Mbatia
9.Arfi
10.Safari
11.Mrema
12.Lamwai
13.Tit Mohamed
14.Malima
15.Edo
16.Amani
17.Muhongo

I believe you know better than i do..

Im not trying to portray anything but if my understanding of psychology serves me well, Jamii huwa haijui chochote, inasubiri iambiwe, dont tell them more than they need to know... Dont kill your sweet career at 56, you have at least 15 years more or so to fight....

Just a brotherly advice, end of the day the choice is yours...

Hasta Luego.
Mkuu ukiongea kiingereza unadhani ndio utakuwa na point sana? Tukubaliane tu muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umeshapita, hilo inabidi wanaoongea kiswahili na nyie wa kiingereza mlikubali tu. Hayo mambo ya kutishia sijui ana hela na vitisho vya aina hiyo, sioni kama vinasaidia sana. Mbowe inabidi akubali tu wakati ni ukuta, tena ni bora hizo hela zake akazitumie pengine. Kwani ni lazima yeye tu ndio awe mwenyekiti wa cdm?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom