Homa ya Watani; TFF yamficha mwamuzi.

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
3,871
4,102
Trh 25 february pale taifa kutakuwa na kipute kikali.
Kama ilivyo ada mechi kama hizi huchezwa hadi nje ya uwanja.
Kufuatia hofu hiyo TFF imeamua kuwaficha waamuzi watakao chezesha mtanange huo,lakini pia wakihakikisha hawafanyi mawasiliano yoyote yale kuelekea mechi hiyo.

Kwa hili chama cha waamuzi ni kama kashfa kwenu,wakati wenzetu huko mbele wanawaweka wazi huku mnashtukiza.
Hii tabia ifikie mwisho na waamuzi wajitambue wajibu wao viwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…