huyu Tulia ni tatizo hata zile pesa za bunge alizopeleka kwa Pombe ilimshangaza Spika(Ndungai) hakua na taarifa yoyote alijua kupitia watsapp group ya bunge baada ya kuona picha.Ninaisikia hapa.. Nadhani huyu Naibu Spika anapwaya sana kwenye kiti.. Halafu hasomi kiwanja maana mpaka wabunge wa ccm wamempinga leo ajue kiti hicho hakina ubia na yeye..
kuna mtu kutoka mihimili wa serikali anampa order na yeye anakurupuka.Huyu dada Tulia, cjua amepatwa na nini! Hana utu kabisa
Unauliza jibu kaka. Ni chaguo la JPM plus LumumbaHuyu naibu spika ni mbabe sana, hajali kabisa maslahi ya wananchi, sijui kwa sababu hajachaguliwa na wananchi