Habarini WATANZANIA,
Kufuatia kuendelea kushikiliwa kwa kigogo anayedaiwa kujishughulisha na biashara ya madawa ya kulevya ‘unga’, Ali Khatib Haji ‘Shkuba’ katika gereza kuu la lindi, hofu imezidi kwamba, mfanyabiashara huyo yupo kwenye maandalizi ya kutoroka gerezani hapo. Hoja hii nimethibitisha na ulinganifu wa hotiba wa waziri mkuu majaliwa kassim,aliposisitiza kudumishwa kwa ulinzi gerezani hapo,.
Njama hizo zinafanywa na vigogo kadhaa wa unga kwa lengo la kumtorosha Shkuba, wakitumia kivuli cha mradi wa kuingiza bomba la maji gerezani hapo ambapo pengine hata wenye mradi huo hawajui lolote linaloendelea nyuma ya pazia, Kuna bomba linachimbwa kuingia gerezani hapo , wenyewe wanasema ni mradi wa kulipatia gereza hilo maji lakini kuna tetesi kwamba huenda bomba hilo ndiyo njia ya kutaka kumtolea Shkuba gerezani lakini wenye mradi huo eti hawana habari.
Kwa wale wadadavuzi wa mambo wanajua si unajua hata El Chapo (kigogo maarufu wa unga Mexico), alitoroshwa kupitia bomba la chooni, Hakuna aliyejua kumbe wenzake ambao ni Mafia walikuwa wakilipigia hesabu bomba lile la chooni tena jamaa wakiwa ni wafungwa pia ,kuja kushtuka, El Chapo ameshatoka kitambo, nimuombe kamishina minja wa lindi,azidishe umakini zaidi maana hawa watu wa madawa huwa wana channel ndefu sana.
Wanaweza kupanga deal na mtu yeyote kwakuwa wanapesa nyingi sana hawa,.na tukikumbuka ile ramani iliyortolewa na usa kuhusu channel nzima ya kusambaza madawa,.kuwa ni channel kubwa sana inayofanywa,.so hawa watu hawashindwi kufanya chochote mtu wao tegemezi atoke,.
Nawasilisha