Genghiswaking post: 15060187 said:Wengi wamefelisika kwenye uchaguzi wa mwaka 2014. Lakini lowassa bado anang'ombe na mitaji mingi.
Kuna tatizo watu wakitoa habari? Hii ni kampuni kama ambavyo ilivyokuwa Home Shopping Centre na kama ilivyokuwa kwa makampuni mengine mengi yaliyo tangaza kufilisika (Mfano Uchumi Super market)..Ikiwa hii habari imekugusa pole sana...Lakini habari lazima zitangazwe.Masikini anapoomba Tajiri afilisike ili wote wawe masikini....ni hatari sana.naona hujui vyanzo vya mapato vya Mh....kaa kimya.
"Hapa kazi Tu....kama huna kazi ya kufanya isome namba,,,,,siyo kumuombea Mh. Lowasa huo upuuzi wako.
Kuhusu kusakama: Siku hizi mtu akieleza habari anatuhumiwa kusakama mtu? Kubenea unamuweka katika nafasi gani hapa na magazeti yake ya MwanaHalisi na Mawio na habari za kila siku kuhusu Zitto?MTOA POST ANAONEKANA NI MTU AMBAYE ANA TABIA ZA MAJUNGU MAJUNGU NA FITINA,
MARAFIKI KAMA HAWA NI KUOGOPWA KAMA UKOMAAA,
HEBU ANGALIA UCHAGUZI UMEISHA KILA KITU KIMEISHA WATU WANAENDELEA NA MAISHA YAO, WEWE
UMEANZA MAJUNGU KUMSAKAMA MZEE WA WATU, JELOUS PEOPLE NEVER WIN, KIJANA BADILIKA UKIWA
MTU WA FIITNA UJANANI UZEENI UTAKUWA MCHAWI
WanaJF,
Wanasema waswahili kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Huu msemo umejidhihirisha kwa Lowassa ambae amekuwa akitajwa kuwa ni moja ya watu matajiri Tanzania.
Utajiri huo wa Lowassa ambao wengi wanaamini ni wa magendo na dili za kuibia wananchi wa Tanzania, umeanza kupata mabalaa na kuhofiwa kupotea kabisa kabla ya sherehe za pasaka!
Wengi mnafahamu kuwa kampuni ya Alpha Dry Cleaners inamilikiwa na Lowassa na moja ya ofisi zao ipo PPF Tower kwenye basement. Kampuni hii ndio imekuwa chanzo kikuu cha mapato kwa Lowassa tangu atimuliwe kwenye nafasi ya uwaziri mkuu kwa kashfa ya ufisadi wa RICHMOND.
Taarifa zinasema kampuni hiyo ambayo sasa ndio uti wa mgongo wa Lowassa, imeanza kushindwa kujiendesha; Kwanza wafanyakazi wake hawajapata mshahara kwa miezi miwili hadi sasa na pili, kodi ya pango ambayo ilikwisha mwezi novemba, hadi leo haijalipwa kinyume kabisa na mkataba wa upangishaji. Hali hii imepelekea kampuni hiyo kupewa notisi ya siku 30 kufunga virago na kutoka kwenye jengo la PPF.
Aidha, taarifa zinasema kuwa mtikisiko huo wa biashara hiyo ya Lowassa, pamoja na mambo mengine, umetokana na kuchotwa kwa pesa nyingi ya kampuni hiyo na kutumika kwenye kugharamia uchaguzi wa urais...Maamuzi ambayo wafanyakazi wa kampuni na wadau wengine wanaamini yamehatarisha uhai wa kampuni hiyo kongwe inayojihusisha na ufuaji hapa nchini.
My take,
Kwanza nianze kwa kumpa pole mzee Lowassa kwa matatizo, lakini pia niseme: Huu ndio wakati wa kupima urafiki wa Mbowe na Lowassa. Natarajia kuona Mbowe anatumia sehemu ya lile fungu alilotorosha Uswizi na China (Pesa ya kuuza chama) kumsaidia Lowassa kulipa kodi ya pango na malimbikizo yote kwa maana notisi imetolea ya siku 30 tu.
Kuhusu kusakama: Siku hizi mtu akieleza habari anatuhumiwa kusakama mtu? Kubenea unamuweka katika nafasi gani hapa na magazeti yake ya MwanaHalisi na Mawio na habari za kila siku kuhusu Zitto?
Itakua. Zittto anakupumulia si bure loo. We umezidi. AseeKuhusu kusakama: Siku hizi mtu akieleza habari anatuhumiwa kusakama mtu? Kubenea unamuweka katika nafasi gani hapa na magazeti yake ya MwanaHalisi na Mawio na habari za kila siku kuhusu Zitto?
Mbowe amemfilisi Lowasa.Lowassa kufilisika ndo jambo la ajabu sana etiiii Kwan kama ni kweli Kwan yeye ni Mtanzania wa kwanza kufilisika au?