BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,531
- 11,431
Moja kwa moja kwenye mada:
Kuanzia Kimara Stop Over zimewekwa taa za sola za kumulika barabara kwenye vituo vya daladala hadi Kilvya Madukani na pale Kibamba Shule zimeenda hadi barabara ya Kibwegere kifikia Kona Bar, lakini mbona zinang'oka sana?
Kama mfuatiliaji, angalia zile zaa za juu zinag'oka, inabaki ile sola tu na mlingoti wake.
Au TANROADS walitoa tenda ya kishikaji na jamaa akaenda kutengenezea Tabata Matumbi? Maana ni nyingi sana kwa sasa zimeng'oka na si ni hasara kwa serikali kuzinunua tena upya...
Mbona zile za kuanzia Kibaha Maili moja ziko fresh tu na tena kwa muda mrefu na zina mwanga mzuri sana.
Nawasilisha...