Kuna wimbo unaitwa olodumare wa Joel Lwaga umekuwa maarufu kanisani watu wakitaja olodumare bila kujua maana yake nini.
Katika nyakati hizi za hatari,nyimbo nyingi za hawa watu walioungwa na "spirits" zisizojulikana zina maneno yaliyofichwa "codes" ambayo unaweza kujikuta unayatamka kila wakati kwenye wimbo na hapo unakuwa unazivuta kwako na kuzitukuza hizo spirits badala ya kumtukuza Mungu.Hii ni aina mbaya sana ya uzinzi wa kiroho na ni kumtia wivu Mungu aliyeziunba mbingu na nchi.
Hata hivyo hizi spirits ndizo zinawapa watu mamilioni na siku hizi wanajitahidi kulima ili kutakatisha pesa hizo.
Wana wa Mungu tusomeni neno sana na tumpe nafasi roho wa Mungu atufunulie siri za ufalme wake.Tuache tamaa ya pesa,umaarufu na tamaa ya vitu.
Mtu anapanda ndege kwenda Marekani huku anasimanga watu ambao hawajapata fursa hizo lakini hiyo ni kama shinikizo kwa watu wasiojielewa ili wawaombe msaada na hatimae huwa wanawaunga na spirits hizo.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app