Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,659
- 78,274
Nikushauri hapa Enyi Serikali hivi vifo visivyoeleweka vya Watanzania wenzetu huko Nje ya Nchi, Muwe mnavifatilia, kila Nafsi ya Mtanzania iwe yenye thamani
Basi ikishindikana, tutumie Ujomba na Ushangazi basi.
Hizi ni Roho hai zinapotea, na sababu za kupoteza hazijulikani, zaidi ya ndugu kuletewa mwili kuzika tu.
Kwa Serikali madhubuti, makini, inayowajibikia Maisha ya Watanzania ya kila mmoja mmoja, haiwezi kukubali ujinga huo!
Yaani kwanini Watanzania ndio wafe huko kwao kwa vifo visivyoeleweka? Hapa Bongo hamna wa Oman?
Hii nchi huwa ina uajabu sana, akifa mgeni kwa mazingira yasoeleweka, Uchunguzi utafanyika weeeeeeee, kusumbua wananchi weeeeee mpaka basi. Ila Mtanzania akifia nje kifo kisichoeleweka, hutosikia Serikali inajisumbua!
Hili linaweza likakushangaza ila ndio Nchi ilivyo, wanyama wanajaliwa kuliko Wananchi!
Baada ya haya yooote, anapatikana kijana mmoja mjinga mjinga, maarufu, anazunguka Tanzania kuwaambia "Mitano tenaaa"!