NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,571
- 13,399
1/ Benchi la ufundi makini kuanzia kocha mpaka kocha msaidizi na makocha wanaoshughulika na kuweka fit miili ya wachezaji.
2/ Viongozi wa Yanga SC kuanzia Rais mpaka Makamo hatua ya kufika Fainali katika Kombe la Shirikisho ni somo tosha kwa viongozi, nadhani wamejifunza mengi nje ya uwanja mpaka ndani ya uwanja.
3/wachezaji wenye uzoefu mkubwa (experience)
- Kipa hapa kuna Diara mdaka mishale a.k.a screen protector, sina mashaka nae ni kipa Bora kabisa katika Ligi yetu hii hadi East Africa.
- Viungo Wakabaji (Aucho, Mudathri, Sureboy, Gift Mauya ) kila ninapotazama clip za YouTube jinsi Waarabu wa Tunisia wavyopata tabu naondoa mashaka kabisa nakuona kuwa Al Ahly lazima adondoshe point.
- Mabeki wa pembeni (Yao, lomalosa, nk.) hakika ni miamba kabisa, sioni Yanga SC wakipoteza point kwenye uwanja wa nyumbani.
- Viungo washambuliaji (Aziz Ki, Pakome, Max nzengel)
Sina mashaka na uwezo wao, Al Ahly waje ni ngumu kwa Yanga SC kupoteza point tatu muhimu kwenye uwanja wa nyumbani.
NB: Habari zenu tunazo kuwa Mama hajawapa hata mia mbovu maana mmefunga lakini hamjashinda mechi.