Hizi ndio nyumba na magari na nyumba anazomiliki Nay wa Mitego

kwa kua ni mchaga sawa.. mchaga ni mtafutaji daima,, kuna wachaga enzi hizo walikua wanashona viatu hapa Dar ila saivi ndio matajiri wakubwa na wamiliki haya ma-baa yaliyojaa hapa Sinza na Ghorofa kadhaa hapa mjini.Note.. Maisha ni kujipanga kidogo unachopata tunza vizuri na Kiheshimu sana,, Angalia kuna wasanii walishika pesa nyingi enzi hizo kama Feruzi, Dazz Baba(Dazz Mwalimu), Chidy, Nature(japo ana pesa ila siyo staili yake), Man dogo, Domokaya ila wengi wao ni masikini wa kutupa hata usafiri tuu hawana wakati mtu kama A.Y hakuwa juu sana ila ni tajiri, ndio linakuja suala la kujipanga na kujielewa wewe ni nani na unatakiwa kufanya nini..Mfano mdogo hata huyu Feruz, Daz Baba, na baadhi ya wasanii wa Band enzi hizo walikula kila aina ya bata/starehe hapa mjini wakifanya shoo walikua wabaki hotelini ni mwendo wa bia, na kubadili wanawake mpaka pesa ikiisha ndio anarudi nyumbani i.e niliwaona kwa macho yangu akifanya shoo weekend(Jumamosi) anabaki hotel mpaka Jumatano au Alhamisi akila starehe zote.. Sasa maisha yamewapiga wanatia huruma hapa mjini... <(") <3 <3 ()==() <3 <3 <(")
 
Inawezekana hata hajuhusishi na madawa ya kulevya. Ila hizi mali anazotaja kuzimiliki hazina uhalisia wa hiyo thamani anayotaja, au hana mali kama hizo, Ni mbwembe tu!
Mkuu anazo kweli.namjua Nay vizuri.huwa sio muongo.anazo kweli
 
Halafu ni mchaga...
 
Porte milioni 10
Murrano milioni 30
Prado milioni 70
Nyumba kimara milioni 200
Nyumba Tabata Milioni 300
Nyumba Mbezi Kimara milioni 25.

Grande Total Milioni 635.

Nay ameanza kutoka hasa hasa mwaka 2007/2008,Ndani ya miaka 8 amepata mpunga zaidi ya milioni 635.

Kipato chake kwa mwezi ni zaidi ya 6,614,583/=
 
Kiukweli mafanikio ya hawa wasanii huwa yananiacha mdomo wazi, kama kuna mwenye kujua biashara nyingine wanazofanya anisaidie

1.NavyKenzo


2.Shetta


3.Ney Wa Mitego
 
Huku watu wana mawazo ya kimaskini sana.. yaani mtu unabisha mtu kama Ney kuwa na net worth ya 600 Million? SAD.... Hamuwezi kufanikiwa hata siku moja maana mawazo yenu tayari yameshajiwekea limit ya utajiri.. Nendeni kariakoo pale kuna vijana wameanza biashara kama miaka mitatu lakini now wana bank account ina zaidi ya hiyo milioni 600, sembuse Ney ambaye amenza kuwa na exposure miaka kama 6 iliyopita?...
 
weka humu na za kwako ili uache kufuatilia ya wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…