Hizi ndio jamii za watu wanaojiamini na wenye misimamo katika mambo yao

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,735
Katika pitapita na kuchangamana na watanganyika, utafiti uchwara (usio rasmi), haya ndio Makabila au Jamii za watu wenye misimamo na wanaojiamini....

Katika biashara zao, kudai haki, kusimamia wanachokiamini, kujitetea, kupambana katika harakati mbalimbali za kimaisha....

1. Wajaluo
2. Wachaga
3. Waarusha/Wairaq/Wamasai
4. Wajita
5. Wakurya kwa aina zao
6. Wahaya niliwasahau nao wako vizuri
7. Ntuzu anachomoka katk ya msitu wa Wasukuma na kujitenga nao kisha kujichukulia namba saba

Hatuwezi kukwepa kuzungumzia Makabila yetu maana yapo na kuzungumzia sio ukabila Bali ni kuongeza utambuzi ktk kuchangamana kwetu kwenye mambo mbalimbali ya kijamii.
 
Misimamo ipi? Kujiamini vipi?
Katika mambo yao ya Kila siku kwa ujumla.
Mfano Kuna watu wanawza kusema hili leo kesho wanaliruka 180°. Vigeugeu, wengine hata katika kutafuta haki flani kama kikundi ktik jamii usishangae anawazunguka au anawageuka katikati ya safari. Sio waoga kwa mambo wanalofanya kama wameamini ni sahihi iwe kwenye biashara, siasa au majukumu ya Kila siku.
 
mimi sitoki ktk hizo jamii zilotajwa na mleta mda.

ila sio siri,kuna ukweli ndani yake,na siku zote ukweli unauma.
Kweli mkuu, Kuna vuguvugu mahali flani la kujaribu kudai haki ambazo zingeleta tija kwa Kila muhusika ambao sample space inajumuisha watu wa Makabila yote lakn wengine wanayumbayumba na kubadilikabadilika Kila kukicha. Walio mstari wa mbele automatically wamejikuta ni watu wa Makabila kama matatu Kati ya hayo. Hakuna aliyewatenga nature imewatenga kama mafuta na maji. Niiajifunza kitu
 
Hiyo namba 5 kwanini isiiweke namba moja 1 mkuu!
List haijapangwa chronologically.
Ila sijawahi kumuona mkurya mnafiki. Ni watu wazuri kujenga nao urafiki, kama anakupenda kakupenda kama hakukubali hakukubali wengi hawana uvuguvuvugu. Haya mambo ya utafiti uchwara katika kuchangamana na watanganyika wenzetu maana zanzibar nasikia huu ujanjaujanja wa Makabila haupo...
 
Nimekupata mkuu
 
Unawezaje kuandika mada kama hii, wakati makabila yote hayo yalitawaliwa na wazungu.
 
Ahahahaaa ulikuwa unawaza nini mbona umesahau kabila moja lenye sifa unazowaza kuliko hayo na inabidi liwe juu,,,,, ni wahehe wanaongoza nasema kweli mi si mhehe ila ninaishi huku,,,, ni watu wakarimu na wenye nidhamu kweli,,,,, ila ni watu wanaojiamini sana na wenye ujasiri sana,,,, makabila mengine wataongeza wengine
 
Hii comment yako mkuu nimeelewa unamaanisha nini lakini naomba nishangae kuwa Kumbe mtu anaweza kubadilishwa tabia ama malengo yake ukiamua kuyumba ama mazingira ama akiamua kutaka kupata kitu fulani.
 
Mkuu umesahau namba 7 hapo huwaweka WAHEHE hawa watu wanajiamini sana na wan misimamo ya kweli. Mm naona utafiti wako hauta leta maana kama hili kabila hujaliweka hapo kama unakumbuka historia mtwa MKWAWA alicho wafanya wajerumani na licha ya kushindwa vita baadae hakukubali ngozi nyeupe iguse mwili wake akaamua kwenda KUJIMALIZA mwenyewe. Na hivi ndivyo walivyo wahehe... Heb mwambie mods akurekebishie hapo uongeze namba 7.wahehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…