Hizi ndio adhabu kama Donald Trump akikutwa na hatia ya kuhifadhi nyaraka za hisi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,666
6,427
Mara baada ya Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kupekuliwa na maofisa wa FBI katika nyumba yake ya Florida na kudaiwa kukutwa na nyaraka za siri za Serikali kama akikutwa na hatia anaweza kuhukumiwa kwenda jela.

Kuna sheria tatu kuhusu makosa ya aina hiyo; Sheria ya 793 iliyopo ndani ya Sheria ya Ujasusi ya 1917 yenyewe adhabu yake ni kifungo cha hadi miaka 10 jela, Sheria ya 2071 na 1519 adhabu zake ni kifungo cha miaka 3-20 jela.

Mwaka 2018, Trump akiwa Rais alisaini Sheria ya kutunza vibaya hati za siri na kifungo chake ni miaka mitano jela ikiwa ni baada ya kumkosoa mgombea urais wa Democratic, Hillary Clinton akimtuhumu kutumia barua pepe binafsi kuweka mambo ya siri ya Nchi wakati akiwa Waziri wa Mambo ya Nje.


------------------------

Former US President Donald Trump faces possible legal charges over his removal of presidential records, including some documents marked Top Secret, from the White House to his Mar-a-Lago estate in Florida.

FBI agents who searched Mar-a-Lago removed 11 sets of classified documents, including several marked "Top Secret", according to documents unsealed in a Florida federal court on Friday.

The warrant gave prosecutors the right to seize records containing evidence in violation of three federal laws, 18 USC 793, 2071 and 1519.

While the list of items agents took from Mar-a-Lago notes that many of the documents were classified, those three laws deal with mishandling of federal government records regardless of whether or not they are classified.

Law 793 prevents unauthorised possession of national defense information, without mentioning whether the records are classified or not. It is punishable by up to 10 years in prison for each infraction.

That law was initially passed under the 1917 Espionage Act, which predates the statutory classification system.

The other laws, 2071 and 1519, make it illegal to conceal or destroy official US documents. They are punishable by up to three and 20 years in prison, respectively. Neither law requires the information in question to be classified.

Federal law also makes it illegal to intentionally take classified documents to an unauthorised location, but that law was not among the three cited in the search warrant.

Trump in 2018 signed a change in law making it a felony to mishandle classified documents and increasing the maximum prison term for individuals convicted of such from one to five years after criticising Democratic presidential candidate Hillary Clinton for using a private email server to handle sensitive information while she was secretary of state.

Souce: France24
 
Mwaka 2018, Trump akiwa Rais alisaini Sheria ya kutunza vibaya hati za siri na kifungo chake ni miaka mitano jela ikiwa ni baada ya kumkosoa mgombea urais wa Democratic, Hillary Clinton akimtuhumu kutumia barua pepe binafsi kuweka mambo ya siri ya Nchi wakati akiwa Waziri wa Mambo ya Nje.
🤣
Sijawahi kumwelewa Trump
 
Hauzijui siasa za Marekani wewe. Trump ni Rais ajaye 2024, hawawezi kumfunga.
How, huyu anatuhumiwa kuwa kuwekwa na mahasimu wao Russia! Iweje wamrudishe? Au wanataka kumtumia as double agent au inakuaje? Dadavua kdg mkuu
 
How, huyu anatuhumiwa kuwa kuwekwa na mahasimu wao Russia! Iweje wamrudishe? Au wanataka kumtumia as double agent au inakuaje? Dadavua kdg mkuu
Hizo ni siasa tu. Wakati wa Trump Marekani ilivunja rekodi bora za uchumi karibu zote.

Trump ni maarufu sana miongoni mwa Republicans na Wamarekani kwa ujumla licha ya hizo hoaxes za Urusi, Ukraine, Uvamizi wa Januari 6, na nyinginezo ikiwemo hii ya nyaraka za siri.

Republicans karibu wote waliomu-impeach au kumpinga wametolewa kugombea kwenye uchaguzi ujao.

Trump hazuiliki kuingia WH come 2024.
 
Pamoja na kutozijua hizo policies za marekani ambazo wengine mnazileta humu kujaribu kumtetea Trump, kwa hapa hatoboi, hata kama anapendwa!
 
Ushoga na mashoga kweli wana nguvu,
Mzee ni bora uende jela kuliko kuupigia kampeni ushoga,
Well done trump,
Ila ikitokea bahati ukaukwaa tena urais
Chinja wote
 
Back
Top Bottom