Hizi kamati za bunge, yametimia

dux limit

Senior Member
Jul 28, 2015
143
55
Si kila mtu akisema ama akishauri basi anachuki.
Siku zote naamini binadamu tunatofautiana katika vipawa tulivyo pewa na Mwenyezi Mungu.

Uelewa wa Sir Isaac Newton ni tofauti na Max japo wote ni magwiji lakini katika nyanja tofauti.....sembuse uelewa wa hawa wabunge wetu!

Asante Ndugai kwa kuliona hili na kukubaliana na mawazo mbadala mapema.
Huo ndio uongozi.....!
 
Usiandike kama unaongea na moyo wako, unawasilisha mada kwa watu. uandishi wa namna hii ni sawa kuvaa shati linaloishia kitovuni. kama hutaki watu wajue unanalolijua baki nalo mwenyewe
 
Oooh! Poleni wakuu nilikuwa nawahi dodoma, nikiingia natupa data zote. Nipeni 45min.
 
Aliyeziunda anamatatizo kumukichwa, maana kabla hazijafanya kazi kazivunja.

Muondoeni kwenye kiti.
 
elezea ulichokiandika, hata kama cha umbea ila eleza ueleweke
 
Mleta uzi amenikumbusha hadithi moja ya bwana ummoja aliyenyimwa kuingia kwenye sherehe akadadisi kama mwenye sherehe ana ndugu yeyote aishiye nje ya nchi akaambiwa yuko mtoto wake anaishi ng'ambo basi jamaa akachukua karatasi isiyokuwa na maandishi na kufungia kwenye bahasha, alipofiga getinini mara ya pili akawambia walinzi nina barua ya mtoto wa mwenye sherehe hii anayeishi nje ya Nchi basi walinzi wakamruhusu aingie kwenye sherehe alipofika ndani akaomba msosi kwanza kabla ya kutoa barua na aliposhiba akatoa ile bahasha kufunguliwa ndani hakuna mandishi ya aina yeyote alipoulizwa kwanini mwandishi wa barua hiyo hakuandika chochote jamaa akasema alikuwa na haraka sana kumbe shida yake ilikuwa apate chakula tu.
 
Kuzivunja wakati zimeshapata kashfa ya rushwa ndio kuwahi? kaliona mapema wakati kamati zimeshaonekana uchafu wao? Huyu si wa kumpongeza maana kamati aliunda, akabadili badili watu kuficha tuhuma za rushwa wazalendo wakaziibua, leo ndio anavunja, nae jipu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…