Lissu: "Hakuna kuimbiana maridhiano yasiyokuwepo, hakuna tena habari ya kualikana kwenye vikao vya kuzungumza mambo yasiyojulikana. Bali ni muda wa mapambano ya kudai mabadiliko ya kimsingi ya nchi yetu na zinatakuwa siasa za mshike mshike kweli kweli"
Tundu Lisu
, Makamu Mwenyekiti Bara wa
Majibu ya wasomaji
1. Ulikimbia nchi kwa ajili ya usalama wako, et mshike mshike kwani una jeshi? Bila kesi zako kufutwa ungekuwa Ubelgiji, kwa siasa zako za bila mahesabu utakimbia nchi tena
KingoMo
2. Utayapataje ? Kwa mtutu wa bunduki ?Utakuwa na ujinga kichwani mwingi .
3. Babu Mabula
Unatupanga tu halafu baada ya uchaguz unasepa ulaya leta family yako kwanza ndo tutajuwa umezamilia kapambana
4. Fahad Msafiri
Ulikimbia nchi kwa ajili ya usalama wako, et mshike mshike kwani una jeshi? Bila kesi zako kufutwa ungekua ubelgiji, kwa siasa zako za bila mahesabu utakimbia nchi tena👇 haufai kuwa mwenyekiti CDM