Mr Antidote JF-Expert Member Jan 11, 2015 952 1,293 Dec 28, 2015 #1 habari zenu wadau Nimeikuta hii picha huko fb, bidada kafiwa anaomboleza kwa selfie mwenyewe..... Kamependeza lakini , sasa sijui tumpe pole au tumsifie amependeza...anyway tumuombee tu marehemu ajipumzikie kwa amani Attachments 1451312778643.jpg 47.6 KB · Views: 108
habari zenu wadau Nimeikuta hii picha huko fb, bidada kafiwa anaomboleza kwa selfie mwenyewe..... Kamependeza lakini , sasa sijui tumpe pole au tumsifie amependeza...anyway tumuombee tu marehemu ajipumzikie kwa amani
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Sep 4, 2013 37,888 43,778 Dec 28, 2015 #2 She can't be serious..! How creative is this?!
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 75,203 157,368 Dec 28, 2015 #3 hapo ni kusifia ufundi Wa Fundi Wa jeneza.,..