Hizi bei za mabati zinanichanganya, nipeni muongozo

David Harvey

JF-Expert Member
Jul 17, 2014
2,799
5,707
Screenshot_20231228-084035_WhatsApp.jpg
hawa ni ANDO g30 ni 18500

Screenshot_20231228-084915_WhatsApp.jpg

Hawa ni ALAF g28 ni 23,311

Screenshot_20231228-084928_WhatsApp.jpg
hawa ni sunshare g28 ni 24,100 .

Swali:inakuwa vipi uyo wa kwanza bei yake ni ndogo hivyo tofauti na wenzake tena kwa geji hiyo hiyo .?
 
Ishu ni kampuni tu mzee.. Ni sawa na gesi, unakuta oryx wanauza mtungi wa kg 15 kwa 56000 taifa gesi 51000 wakati gesi ni ile ile na zinaingizwa kwa pamoja. But watu bado wanaamini oryx ni bora zaidi wakati gesi huwa inaagizwa pamoja kama petrol.
Asante mkuu kwa uelewa wako au uzoefu wako niende kampuni ipi hapo?
 
sababu ni ya kuchakachua
thickness ya aluminium ndani ni kiduchu, baada ya miaka miwili hakuna kitu
achana na takataka izo, chukua ALAF
Sidhani mkuu..hizo bati zipo standardized. Ukisema gauge 28 maana yake ni sawa. Hakuna difference labda difference inaweza kuwa kwenye hizo ingredients zinazotumika kwemye rangi, siyo thickness ya aluminium.
 
View attachment 2855239hawa ni ANDO g30 ni 18500

View attachment 2855243
Hawa ni ALAF g28 ni 23,311

View attachment 2855244hawa ni sunshare g28 ni 24,100 .

Swali:inakuwa vipi uyo wa kwanza bei yake ni ndogo hivyo tofauti na wenzake tena kwa geji hiyo hiyo .?
Bado hujauliza wauzaji kitalaam na hivyo unaweza kudhani huyo wa Kwanza ana bei nzuri au wa pili ana bei kubwa.

Shida dio uchakachuaji wala nini bali ni Upana wa hiyo bati.

Urefu wote ni One Meter lakini Upana mmoja atakua 1100mm naa Mwingine 970mm.

Na wauzaji hawatakwambia ukweli huu.

Wanataka uone kwao ni bei rahisi
 
Sidhani mkuu..hizo bati zipo standardized. Ukisema gauge 28 maana yake ni sawa. Hakuna difference labda difference inaweza kuwa kwenye hizo ingredients zinazotumika kwemye rangi, siyo thickness ya aluminium.
gauge 28 ni mwanzo mwisho juu mpaka chini hapo kati kuna steel, aluminium-zinc
nilichoa address ni ile thickness ya aluminium-zinc, wanafanya steel iwe thicker na kupunguza Al-Zn
 
Bado hujauliza wauzaji kitalaam na hivyo unaweza kudhani huyo wa Kwanza ana bei nzuri au wa pili ana bei kubwa.

Shida dio uchakachuaji wala nini bali ni Upana wa hiyo bati.

Urefu wote ni One Meter lakini Upana mmoja atakua 1100mm naa Mwingine 970mm.

Na wauzaji hawatakwambia ukweli huu.

Wanataka uone kwao ni bei rahisi
Labda..but navyojua hizo bati huwa zinakuja kwa sheets bongo wanaweka migongo tu..sasa hizo sheets siyo kwamba zipo standardized kweli, itabd kufutilia hilo.
 
gauge 28 ni mwanzo mwisho juu mpaka chini hapo kati kuna steel, aluminium-zinc
nilichoa address ni ile thickness ya aluminium-zinc, wanafanya steel iwe thicker na kupunguza Al-Zn
Okey..labda. Sasa utajuaje kama wamefanya hivyo au ni kudhania tu. Case kubwa ya hizi bati ni kupauka ndani ya muda mfupi na siyo kutu. Nahisi hiyo alloy ya Al-Zn lengo ni kuzuia kutu.
 
em subiri ninyamaze maana nikiendelea nitaonekana ni marketing offer wa alaf :D
 
Labda..but navyojua hizo bati huwa zinakuja kwa sheets bongo wanaweka migongo tu..sasa hizo sheets siyo kwamba zipo standardized kweli, itabd kufutilia hilo.
Nenda kasome uzi wangu wa " Elimu kuhusu Mabati" kuna makala iliyoshiba kuhusu hili jambo.
 
Okey..labda. Sasa utajuaje kama wamefanya hivyo au ni kudhania tu. Case kubwa ya hizi bati ni kupauka ndani ya muda mfupi na siyo kutu. Nahisi hiyo alloy ya Al-Zn lengo ni kuzuia kutu.
Shida ya bati zetu ni Rangi.....mengine Mabati yoote yanafanana.

Ukumbuke Alaf, Sunshare, Dragon, Bati Bomba wote supplier wao ni Mmoja tu na ni China, India, South Africa.
 
Back
Top Bottom