Hizi ambulance zinapeleka wapi wagonjwa?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Nimekuwa nikishangaa karibia kila Mbunge/Kiongozi hutoa gari la Wagonjwa kwa wapiga kura wake, sasa haya Magari ni ya nini? Yanawapeleka wapi hawa Wagonjwa?
Au labda ni ni kama kesi Kuku na Yai, kipi kilianza?
 
Swali la darasa la kwanza hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…