Mambo haya yanafanyika hovyo tu kulinda interests za kikundi fulani cha watu. Hakuna anayejali tena kuhusu mchakato wa katiba mpya. Serikali haiongei ipo kimyaaaa...ila tutaendelea kusubiri.
Thubutu, CCM na Katiba ya Warioba ni kama mbwa na chatu, wanaiogopa katiba mpya kama ukoma. Mbwa, pamoja na ujanja na mbio zake zote, mbele ya chatu hafurukuti. Kwanza, huyo Magufuli mwenyewe, hiyo Katiba ya Warioba itamwacha salama?