Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,491
- 4,525
Hapo vip!!
Mimi nina passport ya zamani na muda wake unaisha 2027.
Sasa nataka kusafiri kwenda ng'ambo,cha ajabu naambiwa mpaka nikate passport ya electronic niliwaambia sawa ila wanataka nianze tena process upya kujaza documents sijui kupeleka wapa na wap yaani ni ulofa mtupu.
Sasa hizi taarifa zangu za awali wameziweka wap mpaka tuanze kusumbua namna hiyo?
Halafu lingine inakuwaje passport yangu haijaisha alafu naanza kulipia tena upya?wangekuwa ni watu wenye kuheshimu sheria na haki za watu hizo gharama zinatakiwa wagharamie wao kwasababu wao ndio wamevunja mkataba kwa mabadiliko yao wenyewe.
Passport ndani ya nchi hii inakuwa complicated ,sasa sijui ni ujinga au umaskini ?