Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,664
Leo jioni nimepita sokoni kuchukua maitaji ya nyumbani nikafika soko moja kubwa lakini nikajiuliza jinsi biashara za sokoni zilivyo zipo wazi mfano matunda,mchele,viungo na n.k .wa wakati wa kufunga wanabakishwa walinzi kulinda soko ili wezi wasije kuiba mali za wanasoko.
swali la kujiuliza wao uwa wana nunua maitaji au ndo wanakuwa usiku kama wapo supermarket wakizunguka kujichukulia.
swali la kujiuliza wao uwa wana nunua maitaji au ndo wanakuwa usiku kama wapo supermarket wakizunguka kujichukulia.