Hivi wale Wazee wa Simba waliotoa siku 7 kwa TFF, Wizara ya Michezo na Bodi ya Ligi kuomba radhi baada ya kichapo, zile siku hazijaishaga mpaka leo?

Makavuli

JF-Expert Member
Aug 27, 2024
882
1,305
Wale wazee wa simba waliitisha press na waandishi wa habari baada ya kichapo na kutoa siku 7 kuombwa radhi vinginevyo wangefanya jambo but mpaka sasa ishapita miezi karibu mitatu tunajiuliza waliishia wapi?

Tunalisema hili mapema maana zile kelele ziko njiani Tena kurudi kwa namna mambo yanavyoenda hili pira la gusa achia twende kwao lishaanza kuwavuruga watu na matamko yashaanza kutoka kwa Msemaji wao!

Wale wazee Ile mikwara mbuzi yao wasirudie Tena kuwatishia watu maana inaonekana walikuwa wametumwa baada ya yanga kuwatembezea bakora mfululizo sasa tunawaambia kinachokuja mbeleni ni gharika waandae mikutano ya hadhara kabisa na sio press Germany machine hana utani anasaga na kukoboa ukiingia kiboya kwenye anga zake anakugawia kulingana na idadi!!
 
Wale

Walesiyo wazee ni vijana wezetu wa makamu.
 
Waseme mapema wanahama ligi lini
Mashabiki wao washaanza kusema wanahama kmc complex kwamba wanarogwa wanapata ushindi kwa mbinde wamesahau timu yao bado viwango vya wachezaji wao vinategemea zaidi marefa kwa sasa ili waupate ushindi🤣🤣🤣
 
Wale wazee wa simba waliitisha press na waandishi wa habari baada ya kichapo na kutoa siku 7 kuombwa radhi vinginevyo wangefanya jambo but mpaka sasa ishapita miezi karibu mitatu tunajiuliza waliishia wapi?

Tunalisema hili mapema maana zile kelele ziko njiani Tena kurudi kwa namna mambo yanavyoenda hili pira la gusa achia twende kwao lishaanza kuwavuruga watu na matamko yashaanza kutoka kwa Msemaji wao!

Wale wazee Ile mikwara mbuzi yao wasirudie Tena kuwatishia watu maana inaonekana walikuwa wametumwa baada ya yanga kuwatembezea bakora mfululizo sasa tunawaambia kinachokuja mbeleni ni gharika waandae mikutano ya hadhara kabisa na sio press Germany machine hana utani anasaga na kukoboa ukiingia kiboya kwenye anga zake anakugawia kulingana na idadi!!
Unaamini Yanga wamerudi, au unarejea mechi ya Dodoma Jiji?
 
Ndio wanaanza kurudi mdogo mdogo ivyo,,kasi yao,,transition yao kujenga mashambulizi,,utimamu wao wa mwili,,team work yao vyote kwasasa vimeimarika,,siku wakirudi kwa 100% mtaandamana mpaka kwa waziri wa michezo maana sio wazee Tena watakaoitisha press bali viongozi wenu!
 
Hata Popoma naye aliwahi kumpa Mangungu siku 14, mpaka leo zimepotelea kusikojulikana.
Gusa achia twende kwao itakuja kuondoka na kichwa cha fadlu asipokuwa makini,,Kuna bomu linatengenezwa litakuja kuwalipua watu siku sio nyingi
 
Wale wazee wa simba waliitisha press na waandishi wa habari baada ya kichapo na kutoa siku 7 kuombwa radhi vinginevyo wangefanya jambo but mpaka sasa ishapita miezi karibu mitatu tunajiuliza waliishia wapi?

Tunalisema hili mapema maana zile kelele ziko njiani Tena kurudi kwa namna mambo yanavyoenda hili pira la gusa achia twende kwao lishaanza kuwavuruga watu na matamko yashaanza kutoka kwa Msemaji wao!

Wale wazee Ile mikwara mbuzi yao wasirudie Tena kuwatishia watu maana inaonekana walikuwa wametumwa baada ya yanga kuwatembezea bakora mfululizo sasa tunawaambia kinachokuja mbeleni ni gharika waandae mikutano ya hadhara kabisa na sio press Germany machine hana utani anasaga na kukoboa ukiingia kiboya kwenye anga zake anakugawia kulingana na idadi!!
Tumuulize Kayoko kwanza
 
Back
Top Bottom