Mkuu unajua kitu inaitwa "msimamo wa chama"...? ndo kusema wanaongozwa na taratibu..itikadi na miongozo ya chama chao!
Nimewahi kuuliza huko nyuma kwamba mbunge aliyeenda Bungeni kwa kuiba kura atamtumikia na nani kati ya mtu aliyemsaidia kuiba kura na mwananchi aliyemnyima kura?Kadiri tunavyoendelea kuchekelea na kufumbia macho uchakachuaji ndivyo tunavyoongeza idadi ya wabunge na viongozi wengine wanaotumikia chama na serikali zaidi kuliko wananchi waliopaswa kuwachaguaMara nyingi najiuliza maswali ambayo naamini humu kuna great thinkers ambao wanaweza kunisaidia.
Kazi kubwa ya wabunge ukiacha kutunga sheria ni kuishauri serikali bila kujali unatoka chama gani
Sasa kinachonishangaza kwa wabunge wa CCM kwanini yakitokea mambo ya kuikosoa au kuishauri serikali wanafumba macho na kuwaachia upinzani wahangaike wenyewe?
Mkuu akili wanazo ila wanaingiaje bungeni?Hawahitaji kuchaguliwa na Wadanganyika ili waingie bungeni kwa hali hiyo chama chao ni muhimu zaidi kuliko watanzaniaTangu lini wabunge wa fisiem wakawa na akili....