Hivi vyama vya siasa vinawajibika kutoa taarifa ya mapato na matumizi kwa umma? Vinakaguliwa na CAG?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
8,894
15,678
Ukizingatia kuwa vinapewa ruzuku ambayo ni pesa ya umma. Je vinawajibika kuujulisha umma kuhusu mapato na matumizi? Vinakaguliwa na CAG?
 
Let me fix it for you.

Ingia google andika.

Chadema yapewa hati safi na CAG...

Alafu chagua news source

Au ingia ai... Andika huu utumbo utajibiwa ipasavyo kwa lugha mama.
 
Ukizingatia kuwa vinapewa ruzuku ambayo ni pesa ya umma. Je vinawajibika kuujulisha umma kuhusu mapato na matumizi? Vinakaguliwa na CAG?
Uwe unatafuta taarifa kabla ya kuja kuandika hapa! Maandiko mengine ni ya kiwango Cha Facebook tu!jibu ni Ndio CAG anafanya ukaguzi
 
Back
Top Bottom