Hii miaka 5 wa-tz tumekula hasara aisee,
Kwa fisiem rais imara ni kuzuia tu wapinzani wasiongee, hapo watu oyeeee
Ila ndio poa tumeshapata somo, next time hatutarudi tena makosa,
Anyways, naskia Lowasa fisadi. Mbona tunaambiwa mahakama ya mafisadi haina kesi,