Ukiisha elewa kuwa toka umezaliwa mpaka hapo ulipo ushakuwa na marafiki Kiasi gani na wa aina zip ,katu hautopata tabu na hilo.
Naomba nikukumbushe: Ulipokuwa mtoto , kuanzia chekechea mpaka std 7 kuna marafiki ulikuwa umeshibana nao sana , Je mpaka leo mpo hivyo au wengi mshapotezeana na labda kabaki mmoja au wawili tu ambao hata mnasalimiana walau hata sekunde 30kwa simu au mkikutana,
Alike situation even to O-Level , A-Level, College, University , Job na Neighbours (majirani).
Tambua kila mtu unayekutana naye maishani unakutana naye for a certain purpose Na si Vinginevyo.
Nkiona hao rafiki wanakupotezea ujue wamepata marafiki wapya na mitizamo mipya. Hivyo we maisha tu. Kama mademu wanavyosema kuwa ukiona umeachwa/umepigwa chini basi ujue kuna boya amependwa . The same circumstance to friendship terms & conditions.