Hivi unaoaje mwanamke mlevi?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
12,632
51,820
Wanaume wenzangu hivi unaoaje mwanamke mlevi kwa mfano?

Aisee unaanzia kuoa mwanamke mlevi duh so sad

Home niliona baba alikuwa akiingia jumamosi anakuja na bia mbili ndio anampa mama

Sasa najiuliza Hawa wanawake wa sasa wanawezaje kukaa viti vilefu halafu wananyeshwa bia mpaka kumi halafu wameolewa

Binafsi mwamke mlevi hata kumgonga tu Kama amelewa siwezi!!!
 
Mkuu usiogope ukimaliza na walevi utaanza na kuwakandia wanawake waliosoma, wenye kazi zao, waliokwisha jipata hizo ni dalili za uoga na kutojiamini
Umewahi kudate na mwanamke mlevi?

Kwanza kama huna pumzi usijaribu vivyo hivyo kwenye ndoa akishagonga vitu ni show show kwa kwenda mbele au unataka kusema atalewa kila wakati ashindwe hata kukupikia?

Mbna kina manka kibao wanadrive na kuhandle familia zao na muda huo huo wanagonga gambe kama kawaida.
 
Mkuu usiogope ukimaliza na walevi utaanza na kuwakandia wanawake waliosoma, wenye kazi zao, waliokwisha jipata hizo ni dalili za uoga na kutojiamini
Umewahi kudate na mwanamke mlevi? Kwanza kama huna pumzi usijaribu vivyo hivyo kwenye ndoa akishagonga vitu ni show show kwa kwenda mbele au unataka kusema atalewa kila wakati ashindwe hata kukupikia? Mbna kina manka kibao wanadrive na kuhandle familia zao na muda huo huo wanagonga gambe kama kawaida.
Mzee wangu nyoka kibisa..

Umeeleza vyema kabisa wanapiga gambe na Wana drive safe nimeshuhudia Hilo.
 
Wanaume wenzangu hivi unaoaje mwanamke mlevi kwa mfano?

Aisee unaanzia kuoa mwanamke mlevi duh so sad

Home niliona baba alikuwa akiingia jumamosi anakuja na bia mbili ndio anampa mama

Sasa najiuliza Hawa wanawake wa sasa wanawezaje kukaa viti vilefu halafu wananyeshwa bia mpaka kumi halafu wameolewa

Binafsi mwamke mlevi hata kumgonga tu Kama amelewa siwezi!!!
Sasa kumgonga mwanamke aliye lewa hauwezi?
Labda utakuwa na tatizo mkuu.
Mimi nikiona mwanamke amelewa napata nyege mara mia.
Japo mimi si mnywaji ila mwanamke mla vyombo kwa habari za kumkaza tu naona inanoga sana.
 
Mkuu usiogope ukimaliza na walevi utaanza na kuwakandia wanawake waliosoma, wenye kazi zao, waliokwisha jipata hizo ni dalili za uoga na kutojiamini
Umewahi kudate na mwanamke mlevi? Kwanza kama huna pumzi usijaribu vivyo hivyo kwenye ndoa akishagonga vitu ni show show kwa kwenda mbele au unataka kusema atalewa kila wakati ashindwe hata kukupikia? Mbna kina manka kibao wanadrive na kuhandle familia zao na muda huo huo wanagonga gambe kama kawaida.
Hii reply yako inathibitisha kuwa mwanamke mlevi ni malaya pia
 
Mlevi ni mtu wa hovyo hata mtoto wa miaka miwili analifahamu hilo
Screenshot_20241112-171424.png

Screenshot_20241112-171357.png

Screenshot_20241112-171332.png

Mzee,
SEMA neno mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom