Hivi unajua Jeshi la polisi nchini Tanzania lina app yake yenye kukusaidia kupata taarifa mbalimbali ?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
550
1,019
๐—๐—ฒ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ฎ๐—ฝ๐—ฒ๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ??
1_20241028_143351_0000.png


Hivi unajua Jeshi la polisi nchini Tanzania lina app yake yenye kukusaidia kupata taarifa mbalimbali kupitia simu yako kwa urahisi na inafanya kazi kwa asilimia ๐Ÿ’ฏ.

Tuko kwenye ulimwengu wa maendeleo ya teknolojia ni muhimu baadhi ya taarifa kuweza ku ripoti kupitia simu haswa nchini kwetu Tanzania.

2_20241028_143351_0001.png


Jeshi la polisi ni taasisi muhimu ambayo inafanya kazi kubwa kuhakikisha nchi Inakua kwenye amani na usalama muda wote. Ikiwa wewe mwananchi umekumbana na shida Kuna wakati huko Mbali na kituo cha polisi hivyo Inakua ngumu kupeleka taarifa usijali ๐Ÿ‘‹

3_20241028_143351_0002.png


Kuna app inaitwa TPF Portal App ni app ambayo inapatikana kwenye soko la playstore pamoja app store inakusaidia kuweza kutoa taarifa mbalimbali kwenye jamii kama vile ๐Ÿ‘‡

โ€ข taarifa mbalimbali za uhalifu kwenye eneo lako au mahali popote ulipo nchini Tanzania
โ€ข ikiwa umepoteza kitu chako chochote

4_20241028_143351_0003.png

โ€ข kuomba cheti cha kuwa mtu mwenye maadili mema

5_20241028_143351_0004.png

โ€ข kuangalia masuala mbalimbali ya faini za trafiki pamoja Hali ya hati zinazohusiana na masuala ya barabarani nk.

6_20241028_143351_0005.png



7_20241028_143351_0006.png


Bila kusahau pia inakupa Uwezo wa kukupa taarifa mbalimbali za polisi nchini Tanzania unakosaje sasa ๐Ÿ˜Š.
 
Back
Top Bottom