Travelogue_tz
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 855
- 1,224
Uchwaraaa anatia aibu na kinyaa.Kwa mara ya kwanza neno Dikteta Uchwara liliingia katika soko baada ya TL kuhusisha neno hilo na jinsi JPM anavuoendesha utawala wake. Mabishano na malumbano yaliibuka huku baadhi wakitetea. Je suala la yeye kufanana na Udikteta bado linahitaji mjadala??
Kwa mara ya kwanza neno Dikteta Uchwara liliingia katika soko baada ya TL kuhusisha neno hilo na jinsi JPM anavuoendesha utawala wake. Mabishano na malumbano yaliibuka huku baadhi wakitetea. Je suala la yeye kufanana na Udikteta bado linahitaji mjadala??
kiukweli mtukufu no 1 ameonyesha uchu wa kuwa Dikteta has a. Tuungane kumkemea la sivyo nchi itavurugika zaidiHalihitaji mjadala Mkuu, Kamanda Lissu aliona mbali sana na maneno haya mawili aliyoyatumia na kusababisha kuwekwa ndani sasa ukweli wake unazidi kudhihiri.
Pole sana Mkuu kwa kuwekwa rumande kwa miezi minne na kutokuwa pamoja na familia yako, ndugu jamaa na marafiki katika kipindi chote hicho na hasa kwenye sherehe za Christmas na Mwaka Mpya.
I salute you Sir for everything that you do for our beloved Nation.
Dictator anakemewa?kiukweli mtukufu no 1 ameonyesha uchu wa kuwa Dikteta has a. Tuungane kumkemea la sivyo nchi itavurugika zaidi
Tunahitaji kumuomba Mola mihimili mingine ijitambue na kumkabili kama majaji walivyo hitimisha dhamana ya lema kule Arusha.pamoja na mikwara yake na vitisho dhidi ya wabunge wa chama chake kweli Mungu tuhurumie ili huyu Uchwara ashindweDictator anakemewa?
Mihimili mingine kisaiziba mdomoTunahitaji kumuomba Mola mihimili mingine ijitambue na kumkabili kama majaji walivyo hitimisha dhamana ya lema kule Arusha.pamoja na mikwara yake na vitisho dhidi ya wabunge wa chama chake kweli Mungu tuhurumie ili huyu Uchwara ashindwe
Tunahitaji kumuomba Mola mihimili mingine ijitambue na kumkabili kama majaji walivyo hitimisha dhamana ya lema kule Arusha.pamoja na mikwara yake na vitisho dhidi ya wabunge wa chama chake kweli Mungu tuhurumie ili huyu Uchwara ashindwe
Dictator anakemewa?
Hii hotuba ni muhimu sana wakati huu huyu malaika mkuu anajitahidi kupandikiza chuki za kutisha miongoni mwa Watanzania.
Umeshazisikia toka Dikteta Uchwara aingie??Ziliewekwa enzi ya JK tu.
Nafikili lisu nyie supportes wake hamjui maana ya dikteta ndo maana mnaongea tu utadhani mtoto analilia uji. Ongea ujinga libya ya ghadafi, ropoka ujinga enzi za idd amini uganda, na hata sasa sema ubuyu rwanda. Huo ndo udikteta. Hata museven hajafikia hatua kuitwa dikteta. Ujue wapinzani mmekosa hoja za kuongea majukwaani. Nyie mnapanua midomo yenu tuuuu, mara diktetaaaaaaa, anaoneaaaaa, anabaka demokrasiaaaaaa, miaka mitano ikiisha mje kutuomba kura, this time nitawauliza mmetufanyia nini.