CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,877
- 9,282
Huwa some time naingia Super Market hizi kubwa sio kwa kununua kitu bali kuchungulia sana Food Products hasa hizi fresh.
Kwenye super Market kubwa zile high end bidhaa za chakula asilimia 80 nahisi zinatoka nje na kama ni humu ndani still zinazalishwa na wazungu.Mfano kule Iringa kuna Mzungu mmoja anaitwa Mafisio yule ndio ana feeds Super Market kubwa Tanzania hii, na ukiachana na yeye products zingine zinatoka nje hasa Kenya, South Africa, Egypt na kwingineko.
Sasa je sisi tunalima nini hasa? au sana tumejikita kwenye traditional crops yaani Maize,Beans, Mchele, Mihogo, Tikitiki maji na kadhalika?make inaonekana tuko serious sana kwenye kilimo.
Kwa sababu hizi Super Market kubwa zina lishwa kutoka nje na pia ni pamoja na Mahoteli makubwa ya kitalii Hoteli kama Kilimanjaro Hoteli, Serena Hoteli na kadhalika na pia Hoteli zote za Kitaliu Arusha na Zanzibar.
Kumbuka Hoteli za kitalii wana consume sana kipindi cha High season.
Sasa sisi kule Facebook, kwenye Magroup ya Whatsapp, Inst, na humu tunaonekana ni kama tuna zalisha sana lakini products zote hazionekani kabisa sokoni humo.
NB: kuna watu kwa kutafuta Kichaka huwa wanasingizia kwamba Super Market hazitaki products za Tanzania bali za nje, huo ni uongo mkubwa mno, Super Market wanaangali vitu vifuatavyo;
1. Quality
2.Quantity
3.Sheria
Sasa kwenye sheria now day lazima uwe na documents za kutosha ili ku suply products kwao hapo ndio wabongo sisi hutuoni tunakula kona, tukisikia uwe na EFD Machine hutatuona au uwe na TIN number but Super Market hawana shida na Products za Tanzania shida iko kwenye qualityna quantity.