Tucta ya sasa ni kibogoyo! Haina meno km ya wakina Mgaya ndg yangu.Huu ukiwa ni mwaka wa 4 mfululizo shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini (TUCTA) limeendelea kumwalika Rais Magufuli kwenye sherehe zao na kumfanya kuwa ndiye mgeni rasmi kwenye sherehe hizoHata hivyo Rais Magufuli katika mialiko yote hiyo amekuwa akipiga danadana dai lao kuu vyama vya wafanyakazi la kuwaongezea kima cha chini kutokana na ugumu wa maisha wanayokabiliana nayoTumeshuhudia katika sherehe zilizoisha hivi majuzi, Rais Magufuli akilihamisha Baraza lake la mawaziri na kulipeleka pale Mbeya na kufanya kampeni ya nguvu kwa chama chake cha CCMTumeshuhudia pia convoy ya misafara yake ikiwa na magari yasiyopungua 100, huku ikitafuna pesa za walipa kodi wa nchi hii kuyahudumia katika mafuta na posho wanazolipwa hao watumishi ambazo ni mamilioni ya shilingi za kitanzaniaSisi wafanyakazi wa nchi hii tunapomwalika kiongozi yeyote kwenye sherehe hizo tunategemea kiongozi huyo ajisikie uchungu na madhila yanayowapata wafanyakazi wanyonge wa nchi hii na wala siyo kusikia kiongozi huyo akijinadi kuwa tunatekekeza miradi mikubwa ya reli ya standard gauge, mradi wa kuzalisha umeme kutoka mto Rufiji na ununuzi wa madege ya mabombedier.Tujiulize swali moja hivi nchi za wenzetu ambazo miundobinu yao ni ya hali ya juu sana kulinganisha na ya kwetu, hivi nao waliwapigisha "mark time" bila kuwaongeza mishahara wafanyakazi wao kipindi hicho cha ujenzi wa hiyo miundo mbinu yao??Nakumbuka katika awamu iliyopita ya uongozi wa TUCTA chini ya Katibu Mkuu wake Nicholas Mgaya waliwahi kumwambia Rais wa wakati huo Jakaya Kikwete, kuwa iwapo hutakuja kwenye sherehe zetu bila kuzingatia kilio cha wafanyakazi, basi ni vyama tukamweka mgeni rasmi mtu yeyote yule ambaye tunafahamu atapigania maslahi ya wafanyakazi wanyonge wa nchi hiiImethibitika dhahiri kuwa Rais Magufuli hajali kabisa mateso wanayopata wafanyakazi wanyonge wa nchi hiiNdipo hapo sasa nawauliza viongozi wa TUCTA kuwa kuna haja gani ya kuendelea kumwalika Rais Magufuli katika sherehe za Mei Mosi, wakati mkijua hayupo tayari kuwapunguzia machungu wanayopata wafanyakazi wanyonge wa nchi hii??Sherehe za Mei Mosi ni zenu shirikisho la vyama vya wafanyakazi, kwa hiyo mna hiyari ya kumchagua mtu yeyote ambaye mnaamini kauli zake zitaleta "impact" katika maisha ya wafanyakaziNinachopendekeza kwenu viongozi wa TUCTA msimpe tena mwaliko Rais Magufuli kwenye sherehe hizo, mpaka pale atakapokuwa tayari kuongeza mishahara ya kima cha chiniKama aliweza kufanya hivyo Katibu Mkuu aliyepita Nicolas Mgaya kwa Rais wa wakati huo Jakaya Kikwete, ni kitu gani kinawashinda nyinyi viongozi wa sasa wa TUCTA kumtilia ngumu Rais Magufuli kuja kwenye sherehe zenu akiwa mgeni rasmi??
Hata Mimi nashangaa miaka 4 mfululizo mnamwalika mgeni rasmi kwenye sherehe zenu za Mei Mosi lakini akiendelea kupiga chenga dai lenu kubwa la msingi la kuongeza mishahara ya kima cha chini kwa wafanyakazi wa nchi hii!Tucta ya sasa ni kibogoyo! Haina meno km ya wakina Mgaya ndg yangu.
mwaka kesho tuta mwalika mwenyekiti wa maisha wa saccos yetu yeye anajali saana wafanyakazi, hata pale kwenye saccos mishahara mizuri, sio za upendeleo hadi tunashindwa kujenga makao makuu ya saccos, hata pale kwenye club aliyotaka kuipora nhc alikuwa anatoa mishahara mizuri na ajira kwa uwazi na usawa, nenda kwenye hotel yake anayo endesha na Protea mambo ni hivyo hivyo . viva mwenyekiti wa maishaHuu ukiwa ni mwaka wa 4 mfululizo shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini (TUCTA) limeendelea kumwalika Rais Magufuli kwenye sherehe zao na kumfanya kuwa ndiye mgeni rasmi kwenye sherehe hizoHata hivyo Rais Magufuli katika mialiko yote hiyo amekuwa akipiga danadana dai lao kuu vyama vya wafanyakazi la kuwaongezea kima cha chini kutokana na ugumu wa maisha wanayokabiliana nayoTumeshuhudia katika sherehe zilizoisha hivi majuzi, Rais Magufuli akilihamisha Baraza lake la mawaziri na kulipeleka pale Mbeya na kufanya kampeni ya nguvu kwa chama chake cha CCMTumeshuhudia pia convoy ya misafara yake ikiwa na magari yasiyopungua 100, huku ikitafuna pesa za walipa kodi wa nchi hii kuyahudumia katika mafuta na posho wanazolipwa hao watumishi ambazo ni mamilioni ya shilingi za kitanzaniaSisi wafanyakazi wa nchi hii tunapomwalika kiongozi yeyote kwenye sherehe hizo tunategemea kiongozi huyo ajisikie uchungu na madhila yanayowapata wafanyakazi wanyonge wa nchi hii na wala siyo kusikia kiongozi huyo akijinadi kuwa tunatekekeza miradi mikubwa ya reli ya standard gauge, mradi wa kuzalisha umeme kutoka mto Rufiji na ununuzi wa madege ya mabombedier.Tujiulize swali moja hivi nchi za wenzetu ambazo miundobinu yao ni ya hali ya juu sana kulinganisha na ya kwetu, hivi nao waliwapigisha "mark time" bila kuwaongeza mishahara wafanyakazi wao kipindi hicho cha ujenzi wa hiyo miundo mbinu yao??Nakumbuka katika awamu iliyopita ya uongozi wa TUCTA chini ya Katibu Mkuu wake Nicholas Mgaya waliwahi kumwambia Rais wa wakati huo Jakaya Kikwete, kuwa iwapo hutakuja kwenye sherehe zetu bila kuzingatia kilio cha wafanyakazi, basi ni vyama tukamweka mgeni rasmi mtu yeyote yule ambaye tunafahamu atapigania maslahi ya wafanyakazi wanyonge wa nchi hiiImethibitika dhahiri kuwa Rais Magufuli hajali kabisa mateso wanayopata wafanyakazi wanyonge wa nchi hiiNdipo hapo sasa nawauliza viongozi wa TUCTA kuwa kuna haja gani ya kuendelea kumwalika Rais Magufuli katika sherehe za Mei Mosi, wakati mkijua hayupo tayari kuwapunguzia machungu wanayopata wafanyakazi wanyonge wa nchi hii??Sherehe za Mei Mosi ni zenu shirikisho la vyama vya wafanyakazi, kwa hiyo mna hiyari ya kumchagua mtu yeyote ambaye Saccos yetu, yeye anajali saana wafanyakazi wake kama ilivyokuwa pale kwenye club ya starehe aliyo taka kupora kutoka nhc , au angalia mishahara ya wafanyakazi wetu kwenye saccos, hadi office tumeshindwa kujenga, nenda kwenye hotel yetu kule na Protea uone tulivyo watendea haki wa danganyika.
Wafanyakazi wenyewe ni hopeless....Tucta ya sasa ni kibogoyo! Haina meno km ya wakina Mgaya ndg yangu.
Hivi inaingia kweli akilini kwa serikali inayojinadi kuwa ni ya wanyonge na inayobana matumizi, kujikuta inatumia "lavishly" kwa convoy ya magari zaidi ya 100 kwenye sherehe za Mei Mosi huku Mheshimiwa Magufuli akijua kuwa misafara hiyo inagharimiwa na pesa za mlipa kodi wa nchi hii ambaye kwa kiasi kikubwa ni wafanyakazi wanyonge wa nchi hii
Hivi kweli ukitazama ziara ya Rais Magufuli huko Mbeya hapo majuzi, utabaini kuwa hiyo ilikuwa ni ziara ya kupigia kampeni chama chake cha CCM na wala haikuwa ni ya kuyajali maisha ya wafanyakazi wanyonge wa nchi hii