Hivi Tabora United mlipata zile milioni 50 mlizoahidiwa na Mkuu wa Mkoa?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,585
Hivi karibun hii timu ilishiriki kujinasua kubaki NBC

Ghafla mkuu wa mkoa akahaidi mil 50

Wengi sana wakashangaa kwanini hawakupatiwa wakati wakiwa kwenye ligi wakijipambania

Wamejitahidi wamerudi nauliza

Hivi walizipata zile hela?
 
Back
Top Bottom