Hivi sisi wa Tanzania tunaweza mchezo gani?

katto14

JF-Expert Member
Jul 28, 2016
226
62
nimekaa nikawaza bado sijapata jibu nimeona niwashirikishe wenzangu mnisaidie jibu hivi sisi wa Tanzania mchezo gani tunouweza tukajivunia kama taifa Maana sasa hivi vijana wamebaki ushabiki wa Timu za ulaya
 
Hata ku-sex pia hatuzwezi maneno mengi tu ukiongea na Wanawake watakuthibitishia hili, lkn vijiweni maneno meengi utasiki yule demu atanikoma nikimpata!
 
Papuchino, muda mwingi nyumba za wageni zimejaa! Na wanaojaa huko ni wenyeji hakuna wageni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…