Za asubuhu jamani,
Baada ya bunge kupitisha marekebisho ya sheria ya ndoa na uzazi hasa kwa wanafunzi wote na wenye umri chini ya miaka 17 kwa mabinti na ikitokea ukampa mimba mwanafunzi kifungo ni miaka 30.
Sasa nauliza na kama msichana ni mwanachuo chochote na ametimiza miaka 18, nikampiga mimba akiwa chuo bado sheria itanifunga?Au ni kwa wale wa madarasa ya chini tu?