Hivi Sheria kama hii haiwezi kufikiriwa kutungwa Nchini Tanzania kwani tumechoka kupatwa na 'Vinyaa' kila wakati?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,982
119,403
Napendekeza Kutungwe Sheria Kali sana nchini Tanzania ya ama Kuwalipisha Faini au kuwapa Adhabu ya Kusafisha Vyoo vya Jiji au Barabara Wanawake wote wanaogundulika Kutupa hovyo Taulo zao za Kike (Pedi/Sodo) Mitaani. Vile vile hata ikitokea Taulo hizo zimekutwa Nyumbani kwa Mtu au Mtaani basi Wanawake wote wa hiyo Nyumba au Mtaa wakamatwe na wapewe mojawapo ya hizo Adhabu zangu pendekezwa hapo juu.

Tumeshachoka sasa kutiwa 'Vinyaa' kila mara tu pale unapokatisha Mtaa au Kichochoro unakutana na Pedi iliyo Mbichi imejaa Midamu tupu tu!
 
Daah ila vitu vingine bwana, huwa nashangaa na kujiuliza maswali mengi sana ninapoona hizi "taulo" zimetupwa kiholela mitaani., wahusika hivi hawana stara??
 
N:B (Nje ya mada) Hii iende sambamba na wale wanaotupa hovyo mipira ya kinga (condoms) zilizotumika (sijui watawapataje) hivi vitu vinatia kinyaa kwakweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom