Sasa wameamua kudandia hoja ya No reforms no Election na kuisambaza!Policcm akili zao na Sisiem zinafanana,tofauti ni rangi za uniform tu
UasiHello!
Muda ulikuwa mchache kwa Lissu kuifikia nchi nzima kupeleka ushawishi wa No reforms no Election, sasa jukumu Hilo rasmi limechukuliwa na polisi wetu kwa kumkamata Tundu lissu.
Hivi sasa Kila mtanzania Hadi vijijini atauliza sababu ya kukamatwa Lissu na kujibiwa, "NO REFORMS NO ELECTION",
Hii yote ni kwa hisani ya Geshi retu Ra Porishi!
Kazi iendelelee!
Unabii inasema,Kila baya watakalomtendea Lissu watakuwa wanaharibu zaidiHello!
Muda ulikuwa mchache kwa Lissu kuifikia nchi nzima kupeleka ushawishi wa No reforms no Election, sasa jukumu Hilo rasmi limechukuliwa na polisi wetu kwa kumkamata Tundu lissu.
Hivi sasa Kila mtanzania Hadi vijijini atauliza sababu ya kukamatwa Lissu na kujibiwa, "NO REFORMS NO ELECTION",
Hii yote ni kwa hisani ya Geshi retu Ra Porishi!
Kazi iendelelee!
Nilijua tu zile V* walizohongwa askari wa kipolisi zitaanza kuonekana, tuna POLISI wakipumbavu mnoHii yote ni kwa hisani ya Geshi retu Ra Porishi!
Kabisa😀Sasa wameamua kudandia hoja ya No reforms no Election na kuisambaza!
Hoja ya No reforms no Election imebebea na polisi rasmi,ni kwa usalama wake ndugu mbona jeshi liko kulinda raia na mali zao sikuzote
Kuiba sanduku la kura ndio UOVU Mkuu,Uasi
Atatia akili,unamchezea simba sharubu.Hello!
Muda ulikuwa mchache kwa Lissu kuifikia nchi nzima kupeleka ushawishi wa No reforms no Election, sasa jukumu Hilo rasmi limechukuliwa na polisi wetu kwa kumkamata Tundu lissu.
Hivi sasa Kila mtanzania Hadi vijijini atauliza sababu ya kukamatwa Lissu na kujibiwa, "NO REFORMS NO ELECTION",
Soma Pia: Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Hii yote ni kwa hisani ya Geshi retu Ra Porishi!
Kazi iendelelee!
Atatia akili.Atajua hajui.Kuiba sanduku la kura ndio UOVU Mkuu,
Kuzuia wizi wa kura ni jambo zuri la kupigiwa mfano.
No Reforms no Election.
Kivipii?Uasi
Hujui Lisu ndiye Simba?Atatia akili,unamchezea simba sharubu.
swala la no reform katibu mkuu chama cha mapinduzi ameshalitolea ufafanuzi, sikiliza tbc kwa habari za uwakikaHoja ya No reforms no Election imebebea na polisi rasmi,
Sasa wanaipeperusha nchi nzima,
Polisi hawapitwi jambo ujue!
Uasi my arse.Uasi
Ndo ujue akili ndogo inapambana na akili kubwaHello!
Muda ulikuwa mchache kwa Lissu kuifikia nchi nzima kupeleka ushawishi wa No reforms no Election, sasa jukumu Hilo rasmi limechukuliwa na polisi wetu kwa kumkamata Tundu lissu.
Hivi sasa Kila mtanzania Hadi vijijini atauliza sababu ya kukamatwa Lissu na kujibiwa, "NO REFORMS NO ELECTION",
Soma Pia: Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Hii yote ni kwa hisani ya Geshi retu Ra Porishi!
Kazi iendelelee!
Tbc ndo CCM babalaoswala la no reform katibu mkuu chama cha mapinduzi ameshalitolea ufafanuzi, sikiliza tbc kwa habari za uwakika