Hivi Rais wa FIFA anafahamu kuna timu inaitwa Yanga kweli?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,490
4,525
Hapo vip!

Embu tuweke ushabiki pembeni alafu tujuulize hivi rais wa FIFA anafahamu kuna timu inaitwa yanga kweli?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Screenshot_20241009-210611.jpg
 
Lazima afahamu maana Yanga ndo mme wa Simba
We una akili sawa sawa....hujui Simba kwa sasa ni timu ya 5 kwa ubora barani ya Afrika kwa mujibu wa CUF...yanga tokea kuubwa kwa Dunia haijawahi kufika top 10πŸ˜€,hujui Simba ndio club ya kwanza kuchukua kombe la ligii kuu Tanzania mwaka 1965 na 1966,haujui Simba ndio timu ya kwanza kucheza superleague Barani Afrika league ya timu 8 bora na KUBWA barani Afrika,haujui simba ndio timu ya kwanza kufika final shirikisho kabla ya yanga mwaka 1993,haujui Simba ndio timu yakwanza kucheza nusu final Club bingwa mwaka 1974,haujui Simba imecheza robo final Club bingwa mara 5bmfululizo...yanga bado kwa kila kitu...ndio maana wanaanzaga kutaja Simba na yanga yaaani mume na mke.
 
Sio kuijua tu, anajua mpaka ishawakanda watu tano rano πŸ–πŸ˜€

View attachment 3120276
Jamaa anakuwa shoga nini?mbona anajipendekeza kama mwanamke wa buza..hiyo match aliyocheza Simba na hao kunguni haijulikana hata hapo kenya...Rais wa FIFA anajua timu kubwa barani Afrika kwa ubora na zipo kwenye file za CAF sio kumuwadisia mechi za shule msingi ukafikiri utafahamikaπŸ˜€
 
Mnampa kazi mama kudeal na wajinga kwa kuwajengea mashule mmeona haitoshi mmeamua kumuongezea na mbumbumbu (Kolo fans) sasa sijui aongeze shule za Memkwa?
 
Jamaa anakuwa shoga nini?mbona anajipendekeza kama mwanamke wa buza..hiyo match aliyocheza Simba na hao kunguni haijulikana hata hapo kenya...Rais wa FIFA anajua timu kubwa barani Afrika kwa ubora na zipo kwenye file za CAF sio kumuwadisia mechi za shule msingi ukafikiri utafahamikaπŸ˜€
Tuliza hasira we'kundu' wa msimbazi πŸ˜€ rank za CAF Yanga inakuja juu kwa kasi, derby ya kariakoo ni ya tatu kwa ubora Afrika, sasa Rais wa FIFA aache kujua finalist na medalist wa cafcc ahangaike na robo kilo fc πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
We una akili sawa sawa....hujui Simba kwa sasa ni timu ya 5 kwa ubora barani ya Afrika kwa mujibu wa CUF...yanga tokea kuubwa kwa Dunia haijawahi kufika top 10πŸ˜€,hujui Simba ndio club ya kwanza kuchukua kombe la ligii kuu Tanzania mwaka 1965 na 1966,haujui Simba ndio timu ya kwanza kucheza superleague Barani Afrika league ya timu 8 bora na KUBWA barani Afrika,haujui simba ndio timu ya kwanza kufika final shirikisho kabla ya yanga mwaka 1993,haujui Simba ndio timu yakwanza kucheza nusu final Club bingwa mwaka 1974,haujui Simba imecheza robo final Club bingwa mara 5bmfululizo...yanga bado kwa kila kitu...ndio maana wanaanzaga kutaja Simba na yanga yaaani mume na mke.
Kumbe CUF nilijua CAF πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Eti fainali πŸ˜€ hakuna timu iliyowahi kucheza fainali CAF Tanzania zaidi ya Yanga na medali zipo, hakuna timu yenye mafanikio na makombe mengi zaidi ya Yanga hapa nchini, kuanzia Ligi kuu Γ— 30, FA, Ngao ya jamii, n.k hakuna timu kubwa ya mpira kongwe zaidi ya Yanga hapa nchini, 1930, Unataka niendelee kutaja?πŸ˜€
 
Lofa ni lofa kweli..kwa hiyo unapingana na rais wa nchi alivyothibitisha yakwamba Simba ilicheza final ya shirikisho mwaka 1993,hijui rais ni nchi.

Pia tarehe ya uwazishwaji sio haileti ukibwa wa timu au club...mfano pamba na coastal union ilianzishwa kabla ya mamelody SUNDOWN,Belazdad,Azam n.k utasema pamba na coastal ni vilabu vikubwa....yanga ni ndogo kwa Simba ..tunaangali CAF rank na inavyojulikana KIMATAIFA
 
Back
Top Bottom