Hivi polisi ww Tanzania ni wakusanya mapato au walinzi wa raia

Rofa

Member
Sep 19, 2015
79
126
Mimi sijui kama kuna umuhimu wa kuwa na polisi,kwa sababu ukifikisha shauri polisi umeisha.Trafiki wako barabarani kunyanyasa raia kwa kulipa faini za ujinga.Hivi polisi wanajisikiaje kwenye dunia,maana watanzania nu waoga na mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…