Wadau zangu nilikuwa nina mipango ya kufungua chuo cha security system ambacho nitatoa mafunzo ya course za
1.Electrical fence
2.CCTV security system and alarm system
3.Biometric security system.
Mafunzo yenyewe yapo katika mfumo wa short course, nataka kufungua chuo ila sijajua ni proccess gani za kufungua chuo.