Hivi ninaweza kuwithdraw funds from paypal to payoneer master card?

kwa-muda

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
2,019
5,041
Kwa wale wajuzi naomba mniambie kama ninaweza transfer funds from paypal kwa kulink payoneer master card coz kuna client wangu ameanza kulipa via paypal siyo payoneer au bank wire tena kama zamani.
Nime link card nasubiri confirmation lakini nikisoma mtandaoni watu wengi wanasema kwasasa haiwezekani wengine wanasema inawezekana..
mwenye kufahamu anisaidie
CHIEF MKWAWA mwl Ctrl
 
Issue ya hapa bongo ni ku interact na paypal. Maana hata sehemu pa kutuma pesa hapapo. Labda ulogin kwa VPN usionekane upo Tz
Mkuu Payoneer Master Card Haina Locality maana unaweza kuwa na multiple accounts USA, Germany, Britain, Canada, Austalia, CHina na Japan zote connected kwenye the same single account
 
Labda waanze miaka ya karibuni lakini PayPal wanaichukulia Payoneer kama one of the riskiest online payment processor na kwahiyo, back in the days, miaka michache tu iliyopita, PayPal walikuwa hawaruhusu hiyo kitu!

Btw, kama una PayPal inayopokea pesa, si ni kwamba ipo connected na benki ambayo haipo Tanzania?! Kama ndiyo, kwanini Paypal balance isiwe inaenda kwenye hiyo bank kisha ukawa unatumia Master Card ya benki husika?! Am I missing something here?
 
Miaka ya nyuma walikuwa wanakubari now ndo wamesitisha walikuwa wanakubari kwa kuhamisha ela kwenda kwenye akaunti zilizo connected kwa payoneer kwa sasa hawakubari hizo akunti toka mwaka 2016 ndicho walichonijibu.
Kuhusu kutoa pesa paypal kwa sasa nimeshaweza kuwithdraw
 
Mkuu paypal wanakubali kupokea pesa ukiwa tanzania???
 
For what I know, hiyo kitu ilikuwa inawezekana way back before 2015 kabla PayPal hawaja-stop kutumia Payoneer's issued Virtual US Bank Account!
 
Labda waanze miaka ya karibuni lakini PayPal wanaichukulia Payoneer kama one of the riskiest online payment processor na kwahiyo, back in the days, miaka michache tu iliyopita, PayPal walikuwa hawaruhusu hiyo kitu!

Btw, kama una PayPal inayopokea pesa, si ni kwamba ipo connected na benki ambayo haipo Tanzania?! Kama ndiyo, kwanini Paypal balance isiwe inaenda kwenye hiyo bank kisha ukawa unatumia Master Card ya benki husika?! Am I missing something here?
Samahani mkuu naomba kuuliza.

Hivi unaweza ukalink paypal account hapa bongo kama unatumia international banks kama Barclays?

Nauliza hivi kwani kuna group moja hivi la Nigeria waliniambia inawezekana, japo sijapata mtu aliyefanikiwa hapa kwetu.
 
Unaweza ku-link kwenye benki nyingi tu Bongo labda useme ku-link na hatimae Paypal account yako kuwa na uwezo wa kupokea fedha! Kwa hii case ya kupokea, haiwezekani so long as akaunti yako ipo kwenye "blacklisted" countries!

Kuna wakati nilisikia na nilitaka kufuatilia lakini nikakosa muda! Kuna mtu aliniambia FNB wanaweza kutoa service kama hiyo though I doubt ingawaje inawezekana!
 
Mkuu paypal wanakubali kupokea pesa ukiwa tanzania???
No hawakubari ila unaweza toa kwa njia nyingine kutokana na changamoto niliyokumbana nazo katika kuhanaika kutoa nikafanikiwa nitaanza offer hii huduma so soon hopeful kuanzia jtatu
 
Samahani mkuu naomba kuuliza.

Hivi unaweza ukalink paypal account hapa bongo kama unatumia international banks kama Barclays?

Nauliza hivi kwani kuna group moja hivi la Nigeria waliniambia inawezekana, japo sijapata mtu aliyefanikiwa hapa kwetu.
Zamani hata Equity Bank ilikuwa inapokea ela toka paypal ila kwa sasa hawapokei sheria za fedha za TZ zinawabana hata iwe international bank
 
Mkuu paypal wanakubali kupokea pesa ukiwa tanzania???
No hawakubari niliposema nimeweza kuwithdraw sikumaanisha nimeithdraw kwa kutumia njia ya Tanzania nimetumia other way round
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom