Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 126,256
- 240,611
Hivi hata kama Watanzania ni Wajinga na Mbumbumbu wa kiwango cha Maiti ya Mnyama, hivi ni kweli bado kuna mtanzania anayeweza kuliamini Jeshi la Polisi la Tanzania linapokuja jambo linalohusu Chadema?
Ushahidi wa kutokuaminika kwa Jeshi la Polisi la Tanzania, ikiwa tukianza kuuweka humu JF nina hakika kurasa za Mtandao huu zitajaa wadau washindwe kuweka mada za maana.
Lakini Je Polisi wanadhani wataendelea kuwadanganya Wananchi kwa uongo duni kama huu hadi lini?
Yetu ni Macho tu