Hivi ni mkoa gani unaongoza kwa mapato Tanzania?

Ni vizuri mkaambatanisha na vyanzo vya mapato kwa kila mkoa au wilaya au manispaa au jiji!
Kahana kuna nini hasa!? Just curious
 
Wadau mwenye kujua hili tafadhali jiji au mkoa wenye mapato makubwa Tanzania ni upi.
Mkuu hili swali vizur wangejibu TRA maana wenyewe ndio wakusanya mapato, huku wengine tunabwabwaja tuu
bila shaka itakuwa chato kama sio itakuwa katavi kwa pinda maaana yule mzee analima saña kwa hiyo anachangia saña pato la tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…