Rayvanny wa jamiiForums
Senior Member
- Apr 7, 2023
- 132
- 351
Hivi ni mimi tu ndio nipo single kwa miaka 24 au Ndiyo nimefanywa niwe kama mfano kwa wengine?
Tangu nizaliwe 😊Una miaka 24 tangu kuzaliwa au tangu uwe single?
Kijana wa ovyo weweKwanini upo single?
Una uoga wa kukataliwa, uoga wa kutongoza, uoga wa kumiliki mwanamke, uoga wa maisha.
Yani bro, wanawake wote hawa kibao kila kona wapo
Soon naachia album yangu mpya hapa JamiiForums simtaipokea wazeeOya rayvanny piga show upate pesa mademu watakuua mapema
🤣🤣🤣🤣🙌🏿Ningekua situmii condom, wewe ungekua mjukuu wangu
Ww leta tu tutaipokea, suala la kutaka manzi sahau brazaN
Soon naachia album yangu mpya hapa JamiiForums simtaipokea wazee
Kuna sehemu ana fit....Kwanini upo single?
Una uoga wa kukataliwa, uoga wa kutongoza, uoga wa kumiliki mwanamke, uoga wa maisha.
Yani bro, wanawake wote hawa kibao kila kona wapo
Baby🤣🤣🤣🤣🙌🏿
Wavulana wa siku hizi aibu
Tafuta pesa
Usiogope wanawake
Tongoza
Weka malengo utafika kwenye ndoa
Yes madamWavulana wa siku hizi aibu
Tafuta pesa
Usiogope wanawake
Tongoza
Weka malengo utafika kwenye ndoa
🙆Una miaka 24 tangu kuzaliwa au tangu uwe single?