Hivi ni lazima kuhonga!??

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Naje wakuu
Jamani kuna Jambo najiuliza
Hivi ni lazima sisi wanaume kuhonga honga pesa Kwa mademu zetu yani michepuko?
Unakuta mwanaume anajisifia kabisa kwamba bingwa wa kuhonga wakati wazazi wake wanashindia uji na maembe huko kijijini

Kitabu gani kitakatifu kimeandika lazima wanaume tuwape pesa wanawake
Kuna wanawake wengine ni mabingwa wa kuomba omba hela
Ukimwambia Sina anakasirika

Sasa kama wewe mwanamke unataka hela si utafute zako kila mtu abaki na zake
Tuache kuhonga na kuhudumia wanawake tusio na future nao
Hao si wanandugu zao acha wasaidiwe na ndugu zao
Tusipende pende kuhonga kwa michepuko .
 
Na Kutoa Nayo Sio Poa Maana Kuhonga Sijui Hata Maana Yake
 
Naje wakuu
Jamani kuna Jambo najiuliza
Hivi ni lazima sisi wanaume kuhonga honga pesa Kwa mademu zetu yani michepuko?
Unakuta mwanaume anajisifia kabisa kwamba bingwa wa kuhonga wakati wazazi wake wanashindia uji na maembe huko kijijini

.
Unajua maana ya kuhonga?
 
Kitabu gani kimeandika kuwa na mchepuko,,, kitabu gani kimeandikwa kufanyaa zinaa kabla ya ndoaa
 
Kuhonga ni nini??
Kutoa huduma ni lazima tu hutaki baki na hamu zako
et huna future naye sasa si utulize kidudu chako huko kwenye future? unahangaika nini nje.
"""""siutulize kidudu chako huko kwenye future""" nimeipendaa hiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…