Watu wanasema hela Hamna mtaani lakini me najua wale wapiga dili ndo hali ngumu kwao maana hata Rais alisema ukisikia mtu anasema hana hela maana yake alikuwa na hela ambazo si zake (mpiga dili)
Lakini huku mtaani nasikia hali tete watu kibao wamerudi kijijini yaani maisha ya Dar yamewashinda!
Vip huko mtaani kwako watu wamerudi kijijini?