Hivi ni kweli eti mbayuwayu huwa anakuwa na wadudu tumboni

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,973
27,209
Tangu napata akili nimekuwa nasiki kuhusu huyu ndege (mbayuwayu) kuwa eti ukofanikiwa kumuua yaani tumboni hamna kitu chochote zaidi ya kukuta wadudu tuu kama kaoza fulani
Nimejitahidi sana kipindi nawinda ila nikashindwa maana sijawahi kumwona katua wala akila zaidi humwona hewani na sijawahi kumwona analala wapi,, je?kuna ukweli wowote kuwa anawadudu tupu mwilini?
 
Ni sawa na kusema kunguru hana damu au upande mmoja wa mwili ni damu nyeusi

Hizi ni nyongo yaani wingi wa uongo
 
Pindi bado wadogo tulikua tukiambiwa kua ukiwa una mla huku unakimbia na kupiga kona nyingi la svyo utadondoka na tulifanya hvo
 
Viota vyao wanajenga kwenye nyumba za watu hasa kwenye kenchi ndimo wanapolala..!
 
Kwanza ni uongo na mbayuwayu analiwa sana miaka ile 1979 tumewawinda sana na wanajenga viota vyao kwenye madaraja mapango kwa kutumia udogo kwa ndani ndiyo anaweka nyasi kwa hiyo mkuu maneno mengine zilikuwa ni zile hadithi tu za kusimuliwa na wazee wakati wa usiku wote mmekusanyikana nje pale na moto mnaota kwa kilugha chetu anaitwa EGULUMAMBE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…