Vyuo ambavyo havijapata mkopo mpaka sasa ni TIA (DSM) ,MUHIMBILI na SAUT (sina uhakika Sana) na vyuo vingine vingi tu.Ingekua vizuri kama ungetaja hivyo vyuo ambavyo mpaka sasa wanafunzi wake hawajapata mkopo... huwezi jua labda wale mashushu wa Mheshimiwa wanaweza wakapitia humu na kufikisha taarifa yako kwake.. .
Mkuu uhakiki wameshafanya. Taarifa wanazotoa ni kwamba tuwe wavumilivu maana hazina ndo hawajawapa fedha. Hali ni mbaya sana mkuu!Miezi miwili hakuna boom, inawezekana itakuwa wanaendelea na uhakiki wa watumishi hewa kwa hiyo wamethitisha kila kitu!!!!!! Kazi mnayo.
Tutamkumbuka mkwere wa watuCha kushangaza ndo mikopo imechelewa zaidi Mara mbili ya inavyochelewaga.
Bodi wanadai vipo vyuo zaidi ya 15 havizidi 20.Ingekua vizuri kama ungetaja hivyo vyuo ambavyo mpaka sasa wanafunzi wake hawajapata mkopo... huwezi jua labda wale mashushu wa Mheshimiwa wanaweza wakapitia humu na kufikisha taarifa yako kwake.. .
Hali ni mbaya kwa kweli. Lazima harakati za haraka zifanyike kulinusuru janga hili.hii hali inasikitsha sana kwenye suala nyeti kama hili unaingzwa mchezo mchafu wa siasa, ni kitu kinachohitaji kujitoa kidogo akili ili usadiki haya majawabu,eti hazina haijawapatia pesa HESLB wakati huohuo kuna vyuo washapata pesa zaoje hyo hazina haina pesa kwa hiv vyuo 30 tu? hadi sasa ni vyuo 30 havijapatiwa hzo pesa vikiwemo
-TIA (DSM)
-MHIMBILI
-SAUT
-AMUCTA(Tabora)
Kwa mfano TIA mitihani inatarajiwa kuanza next week na juz ndio ilkuwa deadline ya kulipa ada na wimbi kubwa la wanafunz lilikuwa linategemea kias kutoka kwenye hyo pesa kumalzia ada kwa sasa kimekuwa kitendawili,kuhusu maisha ya kila siku namaanisha pesa ya kula imekuwa mtihani mkubwa sana,plz wakubwa wenye uwezo tupenyezeen hz taarifa sehemu husika tafadhali huku hali sio hali
tuombe mungu akiweza amtwae mja wake watu wapumueTumeshamkumbuka mpaka hapa. Tunammis sana Mkwere.
umejuaje?Kweli kabisa taja vyuo..usalama wamo huku kuwafatilia vijana wa CDM kwahiyo ni rahisi kuchukua taarifa na kupeleka panapousika
Muhas, sfuchas, cuhasIngekua vizuri kama ungetaja hivyo vyuo ambavyo mpaka sasa wanafunzi wake hawajapata mkopo... huwezi jua labda wale mashushu wa Mheshimiwa wanaweza wakapitia humu na kufikisha taarifa yako kwake.. .