Shindu Namwaka JF-Expert Member Sep 22, 2014 4,911 3,083 Feb 29, 2016 #1 VIDEO: Jinsi Meli mpya zinavyoingizwa kwenye maji kwa mara ya kwanza: VIDEO: Jinsi Meli mpya zinavyoingizwa kwenye maji kwa mara ya kwanza - TZA_MillardAyo
VIDEO: Jinsi Meli mpya zinavyoingizwa kwenye maji kwa mara ya kwanza: VIDEO: Jinsi Meli mpya zinavyoingizwa kwenye maji kwa mara ya kwanza - TZA_MillardAyo
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,052 Feb 29, 2016 #2 Aisee tumeona inapendeza sana, mkuu jiunge na jf muwe kampuni moja kubwa
Shindu Namwaka JF-Expert Member Sep 22, 2014 4,911 3,083 Feb 29, 2016 Thread starter #3 MKWEPA KODI said: Aisee tumeona inapendeza sana, mkuu jiunge na jf muwe kampuni moja kubwa Click to expand... Mkuu Mimi sina kampuni hiyo video nime share tu kutoka mrllad ayo ni meli zinavyotoka kiwandani Na kuanza kuingia majini na kutumika
MKWEPA KODI said: Aisee tumeona inapendeza sana, mkuu jiunge na jf muwe kampuni moja kubwa Click to expand... Mkuu Mimi sina kampuni hiyo video nime share tu kutoka mrllad ayo ni meli zinavyotoka kiwandani Na kuanza kuingia majini na kutumika
B bagamoyo JF-Expert Member Jan 14, 2010 24,834 28,743 Feb 29, 2016 #4 Na kutoka ''kiwanda'' cha meli kule Kigoma, Ziwa Tanganyika meli zetu huzinduliwa : Mv Malagarasi - Kigoma Source: azizamour wa youtube
Na kutoka ''kiwanda'' cha meli kule Kigoma, Ziwa Tanganyika meli zetu huzinduliwa : Mv Malagarasi - Kigoma Source: azizamour wa youtube