Kaelewa sana.kwa desktop unatafuta tu pci/pcie card halafu unaichomeka, kwa laptop tafuta tv tuner zile wanazotumia kuangalizia tv chomeka utapata na fm radio
ila gharama zake ni bora tu ununue kiredio pembeni au simu ya tochi yenye redio
kwa desktop unatafuta tu pci/pcie card halafu unaichomeka, kwa laptop tafuta tv tuner zile wanazotumia kuangalizia tv chomeka utapata na fm radio
ila gharama zake ni bora tu ununue kiredio pembeni au simu ya tochi yenye redio
Tumia website ya www.ustream.tv utapata radio zote cha muhimu uwe na internet nzuri yenye speed ya maana.
Zipo radio turner card za USB pale kariakoo jina la duka nimelisahau ila bei ilikuwa ni sh 50000.
Au unaweza agiza eBay
Digital DVB-T USB TV FM DAB Radio Tuner SDR Receiver Stick RTL2832U + R820T New
zipo nyingi tu maduka ya vifaa vya computer bei ninazozifahamu ni around 50,000Thanks broh. Natumia laptop kiongozi si desktop.
Hii tv tuner kwa bongo naweza kupata wapi na bei zake zinakuwa vipi mkuu...?
ni pale mtaa wa uhuru, hizi pia zinakubali na tv ila ni zile Terrestral yaani mfano zile decoder za antena kama digitek. kuna kipindi tv continental dikoda zilikuwa zinakubali, sasa kutokana na uwepo ving'amuzi itabidi uinganishe na dikoda.Ooh okay, ni mtaa gani kiongozi kwa kumbukumbu yako labda...?
Na pia, hizo usb card ni kwa radio pekee au hata tv naweza kuangalia mkuu...?
Thanks a lot.
We mpaka keo bado hujafungua akili yako na kukubali uwepo wa Mungu ?ni pale mtaa wa uhuru, hizi pia zinakubali na tv ila ni zile Terrestral yaani mfano zile decoder za antena kama digitek. kuna kipindi tv continental dikoda zilikuwa zinakubali, sasa kutokana na uwepo ving'amuzi itabidi uinganishe na dikoda.
kwani mimi nilishawahai kukuambia kwamba Hakuna Mungu? by the way hii mada haihusiani na maswala ya imani.We mpaka keo bado hujafungua akili yako na kukubali uwepo wa Mungu ?