cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 224
- 913
Mbona kama wangu kazidi haipiti wiki hatujagombana japo najijua mi ndo mkorofi,lakini ananikwaza jamani hanipi mda!!!! Mda wore busy tu inawezekana jamani kuongea ni usiku tu, sasa hapa nimempigia nikakuta call waiting nime mkejeri tu msalimie baby oneni alivyonijibu.